Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

Mwanza to Musoma
Mwanza to kahama
Mwanza to geita
 
Tulete figure???
 
Sifa zipi? Kutoka Tabora Hadi Dom ni zaidi ya km 400 tofauti na kutoka Tabora kwenda Kigoma
Tabora multi zonal region... inapata huduma za kikanda Kanda ya ziwa ,Kanda ya magharibi na Kanda ya kati ... mwisho
Tabora to kigoma km 500 + wakati tabora mwanza ni km 350
 
Mwanza to Musoma
Mwanza to kahama
Mwanza to geita
Hizo route nazifahamu Wala hazina Mabasi mengi ya kuzidi Mbeya -Sumbawanga via Tunduma na Mbeya -Majimoto via Kamsamba/Kilyamatundu.
 
Hizo route nazifahamu Wala hazina Mabasi mengi ya kuzidi Mbeya -Sumbawanga via Tunduma na Mbeya -Majimoto via Kamsamba/Kilyamatundu.
Unazifahamu wapi ....basi au tata....
Ruti ya mwanza to Musoma Hadi walijenga stendi yake maalumu unasema nini ...
Zakaria,batco,kisire ,Africa Raha, champion,nyamse ,ni yutong na semi luxury zimejaa ,,we unaleta stories za tata [emoji16]
 
Kutoka Mwanza Hadi Musoma unapitia Miji mingapi hapo Katikati?
 
Kutoka mbeya Hadi sumbawanga unapita miji mingap na vijiji vingapi ...[emoji16][emoji16][emoji16].unatafuta excuse
Nijibu wewe acha upuuzi wako ,nilipata jibu ndio tutajua wapi Kuna Mabasi mengi maana nilikwambia unitakie kikawaida utadanganya
 
Basi nawaongezea kutoka Mwanza Hadi Sirali Kuna Miji Mingapi?
Sasa ukiongeza Hadi sirari .....si unataka kupambana na stendi yote ya nyamhongolo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...we utaweza kushinda mabasi makubwa zaidi ya 50 ?
 
Karibu Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…