The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Mtoa mada ana hoja, nashauri asikilizwe
Babati ni mkoa tena?hapo nahisi umekosea mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada ana hoja, nashauri asikilizwe
Iringa haiishii mafinga! Labda ungesema nyigo mpakanizamani ilikuwa sahihi kwasababu wilaya ya ludewa, njombe na makete ambazo zote zipo mkoa wa njombe, zimesambaa hadi kusini na upande mwingine kuungana na mbeya. lkn sasaivi, iringa inaishia tu pale mafinga kurudi nyuma. ukiondoa Kilolo (dabaga) iringa ni kavu kama singida na dodoma tu. sio mbaya kama wataiondoa kusini. pamoja na kwamba utakuwa umewatenga sana na watumwa wao (wabena, wakinda na wapangwa). kihistoria, wabena, wakinga na wapanga hawana historia ya kutawala, wao walikuwa subordinates tu wa Mkwawa hadi usangu huko. na wameendelea kujifanya wahehe hadi kesho kwasababu kwao kuitwa mhehe ndio anatambulika zaidi kuliko akijiita mbena au mkinga.
Watu wengi Hawajui jiografia ya mkoa wa iringa wanajua imeishia mafinga kitu ambacho sio kweli na wakumbuke Kuna watu wapo jilan na lupembe idete kote hko ni iringaIringa haiishii mafinga! Labda ungesema nyigo mpakani
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Na maneo ya njombe pia yana wahehe sana vipi iwe ka da ya kati?Nilivoona baadhi ya maeneo ya dodoma yana wahehe ni sawa kabisa iringa iende kanda ya kati ili kubalance kanda ile iwe na mikoa mitatu, kiutawala itakaa vizuri zaidi ili nyanda za juu kusini iwe na mikoa mitatu pia yaani njombe, mbeya na ruvuma
Hata kama hayapo ila Mashirika mengi ya umma bado yana mifumo ya kikandaHivi huwa kuna makao makuu ya kanda?
Ukibishia hilo basi hiyo mikoa huijuiHaifanani nani kakudanganya?
Bank wao wanaweza ku operate kikanda bila kufata mpangilio wa Kiserikali, Wao wanaangali urahisi wa Ku operate wanaweza kugawa Zones kwa Kuamua wao wenyeweWe ngumbaru una shida Kwa kweli.
Makao Makuu yapo ndio maana Huwa unasikia Hospital za Kanda,Ofisi za Kanda za Huduma Fulani nk ila sio rasmi kwamba Kuna Mkuu wa Kanda wa Serikali hapana ila Meneja wa Kanda wa banks, kampuni nk wapo.
Iringa ni pakame kama dodoma.Haifanani nani kakudanganya?
Ndio,wewe utakuwa huijui IringaIringa ni pakame kama dodoma.
Iringa wanavichaka vifupi kama dodoma?
Iringa wana utambalale kama dodoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kwa taarifa wengi wao wanafuataBank wao wanaweza ku operate kikanda bila kufata mpangilio wa Kiserikali, Wao wanaangali urahisi wa Ku operate wanaweza kugawa Zones kwa Kuamua wao wenyewe
Ouk sawa.Rukwa ni Nyanda za Juu Kusini pure maana inafanana mazingira,utamaduni na aina za shughuli za kiuchumi na Nyanda za Juu Kusini.
Mfano upande wa Magharibi ni Mikoa ya joto kuanzia Tabora,Kigoma na Katavi wakati Rukwa ni Mkoa wa Baridi sababu ya Milima.
Makao Makuu ya Kanda ya Magharibi Yako Kigoma,huo umbali wa km 600 nani anataka wakati Kwenda Mbeya ni km 330 tuu..
Mwisho ukiacha Arusha-moshi,Mbeya-Tunduma na Morogoro -Dar ,hakuna Mkoa mwingine una route nyingi za Mabasi kushinda Mbeya -Sumbawanga tena panda zote Huku Juu ufipani na kule chini Bonde la Ziwa Rukwa..