Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

By the way Iringa ni Mkoa pekee maalumu wenye ambao Mkoa wote una kabila mmoja tu-Wahehe tofauti na Mikoa mingine ambapo unakuta kuna mchanganyiko wa makabila mengi.
Iringa Ina Wagogo wa kutosha ,labda ungesema Ina makabila hayo 2 tuu ila dominant ni wahehe.
 
Uliniambia nini? Ndugu za Wahehe ni Wagogo na Kila kitu kuanzia jiografia wanafanana
Nilikuambia usiwe unakurupuka! Mbona Wadigo wa Tanga wana Vinasaba na Bahema wa DR Congo 🇨🇩, kwahiyo unataka Tanga iwe province ya Congo! mang'aa wewe na mbulula!
 
Nilikuambia usiwe unakurupuka! Mbona Wadigo wa Tanga wana Vinasaba na Bahema wa DR Congo 🇨🇩, kwahiyo unataka Tanga iwe province ya Congo! mang'aa wewe na mbulula!
Tunazungumzia Mikoa sio Nchi kenge wewe,Nchi tayari zilishagawanywa ila Mikoa inaweza fanyiwa re categorisation
 

Attachments

  • Screenshot_20230615-121350.jpg
    103.2 KB · Views: 12
Itasaidia nini sasa? Kama ukibadili ukaiita mkoa wa mashariki ya kati? What is the difference? Tunachoshana buree
 
Acha ubishi we jamaa. Usidhani wote hatujui mambo humu. Ubishi haukusaidii chochote, penda kujifunza kuliko kubishana ilhali hauna details za kutosha
Kwanza kajifunze ku post harafu uje tujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…