Mkoa wa Kagera ni Mkoa masikini zaidi nchini Tanzania; tutaugeuza kituo cha biashara EAC

Mkoa huu una mito mingi mikubwa ya asili na uoto mzuri sana na ardhi yenye rutuba nzuri hususani wilaya ya Kyerwa na Karagwe
Wizara ya kilimo ikitumia vizuri fursa hii hakika kagera inaweza kuongeza pato la taifa kupitia kilimo
 
Wengi wao wanajiuza Tandika,Buguruni, Mwananyamala na katika hayo maeneo kuna vi-grocery utawakuta kima-group wakinywa utadhani wana vikao vya kifamilia.
 
ACT ndiyo nini?
 
Endeleeni kushangilia Kila kitu kupelekwa Dar..

Bila sera ya Ugatuzi, umaskini itaendelea kutamalaki mwaka Hadi mwaka.
 
Nimesikitika Kwa mlio mtukana Kwa kuwa Leo Sina mengi Kwa niaba yake naomba niwaite nyie wote mlimtusi ta mwami Zitto Kabwe wote nyie ni mambwa.

Pili naunga mkono hoja ya Ya mwami Zitto Kabwe.
 
Kuorodhesha matatizo ni rahisi; ungeelezea hizo hatua za ACT impact yake na jinsi itavyoongeza hayo mapato na matumizi kufikia national average.

Vinginevyo ni general complaints ambazo hazina majibu.
Si kama wewe tuu unavyoelezeaga na Chadomo Yako with no suluhisho? Nyani wanachekana Mikia 😆😆
 
GDP ya Kagera ni kubwa kuliko Kigoma,hapo ni nyani wanachekana Mikia 😆😆
 
Una uhakika bado watu wataendelea kuwa mazombie huku ccm ikiendelea kukaa madarakani kwa shuruti? Kwanini ccm ipewe namna ya kutatua matatizo, kama haiwezi iheshimu uchaguzi waingie wanaoweza.
Good
 
Mheshimiwa Zitto,maada yako ina mshiko sanaa ila kwa kuwa jamii forum inawanachama wengi vilaza (hawajitambui) ,tegemea motosi ya kutosha toka kwa hawa vilaza waliojazana humu
 
Maendeleo yanaletwa na wananchi wenyewe! Kwa muktadha huo Wahaya ndiyo wanapaswa kuuletea maendeleo mkoa wao! Lakini cha ajabu wamekimbia mkoa wao(nadhani kwa sababu ya Ukimwi) wakaenda kujenga mikoa mingine.

Hata ukija kwenye Diaspora nadhani kuna wahaya wengi wako nje lakini hawakumbuki kwao,na vile wanavyopenda kiingereza sasa!

Wangejifunza kwa wachaga ambao hata wakienda kutafuta mali kwingineko hawasahau kwao! Anyway Wahaya wakiamua wanaweza!
 
Wahaya wakajifunze kwenye Mikoa yenye maendeleo. Huwa wanakuwa na ushamba sana huku kwao ni Maskini wa kutupwa. Kuna haja ya kuwasaidia.
 
Acha utapeli igeuze kwanza Kigoma iwe Dubai ndio uje Kagera
 
Mnakosea mshambulia Zitto

Tuache siasa na tukae kwenye ukweli
 
Mimi sielewi anaposema elimu ni duni katika huu mkoa halafu hapo hapo mkoa unaongoza kwa kutoa wasomi....sasa hao wasomi wanasomea mitini au vip....


Mkoa wa kagera unaonekana maskini kwa sababu population ni kubwa kuliko pato la mkoa....sio kwamba eti hakuna huduma za msingi kama hospital, shule, makazi bora, barabara nk...
Mkoa uwe na bandari tatu kubwa, mipaka functional minne, airport nzr tu, wilaya zote ziwe na lami, umeme upo karibu kila kijiji na bado shule bora kabisa nchini zipo katika mkoa huu
Wilaya tu ya muleb ina watu karibu laki saba....
 
Hiyo sababu ya kali ya hewa (upungufu wa mvua) Kagera ni mkoa ambao unapata mvua nyingi kwa mwaka, kwa maneno mengine Kagera haina changamoto ya mvua.

Sababu kubwa ya Kagera ni wakazi wake ni conservative wameng'ang'ania kilimo cha migomba pekee wakati ardhi yao inafaa kwa kilimo cha mazao mengine. Wanamabonde mengi yafaayo kwa kilimo cha mpunga, hasa wilaya za Bukoba, Misenye, Muleba. Pia, zao la palachichi linakubali sana mkoa huu. Wanatakiwa awe serious wafanye kilimo biashara cha parachichi kwa kutumia miche bora iliyoboreshwa na kuzingatia kanuni za kilimo bora cha parachichi (badala ya kutumia miti yao inayojioteaotea tu, hawapigi dawa, hawaweki mbolea, kimsingi hawako serious na zao hili).

Pia, zao jingine ni vanilla inakubali sana Kagera, pia hawako serious.

Wakulima/wakazi wengi wabishi hawataki kutumia mbolea za viwandani eti zinaharibu ardhi (wakati maeneo mengi yanayopokea mvua nyingi yana tabia ya kusomba rutuba ya udongo/soil nutrients reaching). Hivyo, rutuba ni changamoto kwa maeneo mingi yanayopokea mvua nyingi.

Ushauri wangu ni kuwa:

1. Kagera ni mkoa potential ukitumia vizuri, hasa kwa kilimo, utaendelea. Hivyo, wakulima waache uvivu, waongeze juhudi na maarifa katika hili.

2. Katika sekta ya uvuvi, bado mkoa hauja-excel vya kutosha.

3. Wapunguze umimi, waruhusu interaction ya jamii mbalimbali za Kitanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…