Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hauna mamlaka au political power, unagawiwa kiduchu kutoka dar es salaam.Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia. So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu. Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?
Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Mbona mikoa yote ni hivyo hivyo?Hauna mamlaka au political power, unagawiwa kiduchu kutoka dar es salaam.
Dar es salam Arusha na Mwanza ndo kipau mbele cha serikali mkoa migine inafanana tu. Tofauti yao ni ndogo.Mbona mikoa yote ni hivyo hivyo?
Una watu Wana mdomo sana badala ya kufanya kazi.Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia. So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu. Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?
Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Burundi hawana purchasing power kubwa pamoja na kwamba ni mamilioni ya watu. Kagera almost haina cha kuuza Burundi.Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia. So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu. Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?
Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Hakuna mhaya maskini acha habari zenu za hovyo.Wahaya ni sehemu ndogo ya mkoa wa kagera kama hiyo habari ulikuwa hujui.Tabia za watu wa Kagera, wajuaji sana, wanajua hadi eti Kiingereza/kizungu kuliko british wenyewe..!! Wahaya ni shida, wabishi kuliko watu wa kigoma, but kiuhalisi kumbe hawajui mambo vizuri, sbb anaejua mambo vizuri hujikamua katika lindi la umaskini.
1. EMPLOYEE - Wasomi huandaliwa kuajiriwa!Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi...
RC uwezo mdogo. Huo mkoa ulitakiwa uwe moja ya mikoa tajiri TzHuo Mkoa Wana diaspora wengi sana, lakini remmittance zote zinaishia Dsm,Mwanza na Arusha, wanaogopa kujenga kwao, ushirikina mwingi, ma nyaruju...
Hata Mbeya na Kilimanjaro hayo yalifanyika lakini hukuti umasikini kama unaotajwa Kagera kuwa nao.Mtausema sana huu mkoa. Watanzania mna roho ya kwanini.
Mkoa unatoa wasomi sana lkn mliweuwekea passmark za juu sana. Wahaya walikimbilia mikoa mingine kutafuta elimu. Kuna wahaya Wana majina mpaka ya Kimasai...
Kimsingi huo umasikini mnaousemea mkoa wa Kagera ni wa kufikirika. Mkifika kule mkaona mijengo ilivyo na hali ya watu ilivyo ndo mtakasirika zaidiHata Mbeya na Kilimanjaro hayo yalifanyika lakini hukuti umasikini kama unaotajwa Kagera kuwa nao.
Hakuna anayekasirika hapa. Tunataka kujifunza kitu juu ya hii paradox ya umasikini Kagera.Kimsingi huo umasikini mnaousemea mkoa wa Kagera ni wa kufikirika. Mkifika kule mkaona mijengo ilivyo na hali ya watu ilivyo ndo mtakasirika zaidi