Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kula pali wewe😂😂😂😂Kalya empali zanyu mnataka mkoa uweje? Basi leta tasafu watusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula pali wewe😂😂😂😂Kalya empali zanyu mnataka mkoa uweje? Basi leta tasafu watusaidie
Ukweli usemwe tu wahaya ni wajuaji sana. Mimi mama yangu mzazi ni mhaya lakini hashauriki wala haambiliki niliishamua kumuacha kama alivyoSi unaona tabia za Kihaya, ndio tabia hizi nasemea, afadhali umedhibitisha nilichokisema.. Report inasema Mkoa wa Kagera ni maskini mno, yaani maskini haswa, kabila moja wapo ya mkoa wa Kagera ni wahaya, na ndio wengi, sasa sbb ww ni mhaya tayari ushaanza tabia zenu, hizi ndio tabia zinawaletea umaskini, ujuaji kupindukia, of which hamjui vitu vingi vizuri..
Yaani unabishana hadi na research, wakati ww huna research yoyote, hii ndio tabia ya wahaya, wabishi sugu.
Mnabishana kila siku, mnasomesha wanasheria tu, sbb mnapenda kubishana sana, kutwa kucha, siku, miezi, miaka, kubishana tu, ujuaji kupindukia.
Kijichi ni Wilaya au Mkoa?Eti soko la Bukoba ni baya Mara stand Mbaya... Nyie mikoa yenu stand na masoko mlijijengea wenyewe? Huku Kijichi tumejenhewa soko na world Bank lkn tunalikimbia. Stand pia tumejengewa Kijichi lkn hatuhitaji. Bukoba mnawatukana na kuwabeza mnataka wajijengee stand. Wajijengee soko? Nadhani hata hiyo barabara ya lami imejengwa kwasababu ya Uganda
Taratibu mkuu .Kalya empali zanyu mnataka mkoa uweje? Basi leta tasafu watusaidie
Sababu ni zile zile tu zinazofahamika.. na almost mikoa mingi ya Tanzania iko ivyo..na sababu zinafanana everywhere
- Inequality or social injustice
- Lack of education
- Poor basic infrastructure
- Selfishness
- Much know
- Poor Government support
Muleba inaongoza kua na ma DR. na maprofesa wengi TzMkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia.
So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu.
Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?
Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia.
So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu.
Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?
Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Serikali haitaki kuwekeza masoko ya maana ya pamoja mipakani, hakuna mazingira wezeshi ya uwekezaji kama barabara bora, maji nk...Huo Mkoa Wana diaspora wengi sana, lakini remmittance zote zinaishia Dsm,Mwanza na Arusha, wanaogopa kujenga kwao, ushirikina mwingi, ma nyaruju.
Nilitarajia Mkuu wa Mkoa aanze kampeni ya Kila familia kupanda parachichi, hakuna, michikichi, hakuna, labda aongee na SIDO wajenge mashine kubwa za kukamua chikichi, hakuna, yeye anatukanana na wanasiasa tu.
Natarajia tarehe ijayo SSH amuhoji kuhusu parachichi na chikichi
Hao Huwa hawana hoja zaidi ya uvivu na majigambo ya bure....Wahaya jiteteeni kwa hoja msitulete hasira zenu hapa
Vita ipi unasema au kagera ukimwi mbeya na njombe wanaongozaVita
Ukimwi
Tetemeko
Marburg virus
Mnyauko
Mafuriko
Mwitikio wa wenyeji ni mdogoHuo Mkoa Wana diaspora wengi sana, lakini remmittance zote zinaishia Dsm,Mwanza na Arusha, wanaogopa kujenga kwao, ushirikina mwingi, ma nyaruju.
Nilitarajia Mkuu wa Mkoa aanze kampeni ya Kila familia kupanda parachichi, hakuna, michikichi, hakuna, labda aongee na SIDO wajenge mashine kubwa za kukamua chikichi, hakuna, yeye anatukanana na wanasiasa tu.
Natarajia tarehe ijayo SSH amuhoji kuhusu parachichi na chikichi
Vita vya Kagera.. huko Njombe na MBEYA ukimwi umefika wakati ARVs zimeanza kupunguza makali.Vita ipi unasema au kagera ukimwi mbeya na njombe wanaongoza
Uliwe nin😂😂😂😂Hivi bado soko kuu Bukoba siku ya jumapili linafungwa mchana?😁
Bukoba ikifika saa mbili kamji kanakuwa kimyaaa
Mpaka wa Mutukula ni waganda ndio wanaunogesha
Kagera Kuna ardhi nzuri sana, kwa mfano misenji ni 🔥tatizo uvivu
Kuna biashara ukianzisha na usipokuwa wa kwao utapata tabu
Stendi ya Bukoba ni aibuu mvua ikinyesha
Mzunguko wa pesa ni mdogo sana Kagera, tuliwahi kuishi Karagwe kwa miezi minne, umaskini tuliokutana NAO ni mkubwa sana.
Q bar sijui bado ipo?
Halmashauri Haina root za hiace....
Wenyeji kuuza ardhi ni wagumu sana
Niliwahi kwenda Bugabo nusura niliwe