Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Eze ngata tizina magezi ,sema tu kila mda wanawaza wahaya sijui wanashindwa nini kuendeleza hili taifa kama kweli wanawazidi wahayaKimsingi huo umasikini mnaousemea mkoa wa Kagera ni wa kufikirika. Mkifika kule mkaona mijengo ilivyo na hali ya watu ilivyo ndo mtakasirika zaidi
Hakuna mhaya maskini acha habari zenu za hovyo.Wahaya ni sehemu ndogo ya mkoa wa kagera kama hiyo habari ulikuwa hujui.
Mkoa wa kagera una makabila yafuatayo:Wanyambo(wenyeji wa Karagwe),wasubi(wenyeji wa Biharamulo) wahangaza(wenyeji wa Ngara).
Nitajie sehemu yoyote ukiondoa hii miji na mkoa wa Kilimanjaro ambao watu wake kijijini wa na makazi bora kama sio kwa wahaya tu.
Nimekaa karibu sehemu zote hapa Tanzania ila ukitoka tu mjini huko kijijini ni hatari tupu
Swali lako linaenda mbali zaidi, Africa ina rasilimali kibao kwa nini ni masikini.Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia.
So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu.
Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?
Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Kwahiyo katika hiyo research Kagera ndio mkoa wenye maskini tu?je hiyo research imeonyesha tatizo ni ubishi au ujuaji wa wahaya kama unavyosema?Si unaona tabia za Kihaya, ndio tabia hizi nasemea, afadhali umedhibitisha nilichokisema.. Report inasema Mkoa wa Kagera ni maskini mno, yaani maskini haswa, kabila moja wapo ya mkoa wa Kagera ni wahaya, na ndio wengi, sasa sbb ww ni mhaya tayari ushaanza tabia zenu, hizi ndio tabia zinawaletea umaskini, ujuaji kupindukia, of which hamjui vitu vingi vizuri..
Yaani unabishana hadi na research, wakati ww huna research yoyote, hii ndio tabia ya wahaya, wabishi sugu.
Mnabishana kila siku, mnasomesha wanasheria tu, sbb mnapenda kubishana sana, kutwa kucha, siku, miezi, miaka, kubishana tu, ujuaji kupindukia.
Dah umenifurahisha sana na kunikumbusha mengi .Hivi bado soko kuu Bukoba siku ya jumapili linafungwa mchana?[emoji16]
Bukoba ikifika saa mbili kamji kanakuwa kimyaaa
Mpaka wa Mutukula ni waganda ndio wanaunogesha
Kagera Kuna ardhi nzuri sana, kwa mfano misenji ni [emoji91]tatizo uvivu
Kuna biashara ukianzisha na usipokuwa wa kwao utapata tabu
Stendi ya Bukoba ni aibuu mvua ikinyesha
Mzunguko wa pesa ni mdogo sana Kagera, tuliwahi kuishi Karagwe kwa miezi minne, umaskini tuliokutana NAO ni mkubwa sana.
Q bar sijui bado ipo?
Halmashauri Haina root za hiace....
Wenyeji kuuza ardhi ni wagumu sana
Niliwahi kwenda Bugabo nusura niliwe
Katerero🤣🤣🤣Vita
Ukimwi
Tetemeko
Marburg virus
Mnyauko
Mafuriko
Uswahili ukiingia mahala, usitegemee Maendeleo.Mkoa wa Kagera ni mfano halisi wa ujinga wa mtu mweusi. Mkoa unaardhi nzuri na mvua ya kutosha. Ndiyo maana wanaweza kulima mazao kama kahawa na ndizi, na miwa, mazao ya nahohitaji hali nzuri ya hewa. Mkoa umepakana na nchi mbili, Rwanda na Uganda, labda na Burundi pia.
So kibiashara umekaa eneo zuri sana. Ungeweza kuwa hata gateway ya kwenda mashariki ya DRC. Mkoa una ziwa kubwa. Watu wake wanabidii ya kutafuta elimu.
Sasa mkoa kama huu unakuwaje masikini wa kutupwa?
Naomba kujua mambo yanayosababisha mkoa wa Kagera kuwa masikini?
Kwaiyo hayo uloyaorodhesha kwa kijikakamua ndo umeona ni majibu sahihi?Mtausema sana huu mkoa. Watanzania mna roho ya kwanini.
Mkoa unatoa wasomi sana lkn mliweuwekea passmark za juu sana. Wahaya walikimbilia mikoa mingine kutafuta elimu. Kuna wahaya Wana majina mpaka ya Kimasai. Wakati wagogo wakirudisha namba za mitihani wao wameshinda hata Kama hawakuandika chochote. Kagera ilikuwa na shule nyingi miaka ya sabini kuliko mikoa mingi lkn walijaa makabila mengine tena wenye passmark kdg. Kisa NYERERE HAKUWAPENDA NA ALISEMA HAKUNA MHAYA KUWA RAIS. Mambo mengi yaliyofanywa tangu nyuma ndiyo yanaonekana leo. Na mpaka sasa bado mnawachukia hawa wahaya. Kama mnakubali kuwa wameelimika na elimu.ni ufunguo wa maisha, kwanini hawa wahaya wasifunguliwe maisha?
Akili ya samaki hii wasomi wameusaidiaje huo mkoa ukiwemo wewe nyie ni wabaguzi hamwezi kuishi na binadamu wengiine mkiletewa Wataalam mnawaletea majungu mkiwa wenyewe mnabagua ofisi haziendi kukwamishana tuu jirekebisheni mkoa usonge mbele kama mna Wasomi hawasaidii kitu hao sio wasomi ni WAKORAMtausema sana huu mkoa. Watanzania mna roho ya kwanini.
Mkoa unatoa wasomi sana lkn mliweuwekea passmark za juu sana. Wahaya walikimbilia mikoa mingine kutafuta elimu. Kuna wahaya Wana majina mpaka ya Kimasai. Wakati wagogo wakirudisha namba za mitihani wao wameshinda hata Kama hawakuandika chochote. Kagera ilikuwa na shule nyingi miaka ya sabini kuliko mikoa mingi lkn walijaa makabila mengine tena wenye passmark kdg. Kisa NYERERE HAKUWAPENDA NA ALISEMA HAKUNA MHAYA KUWA RAIS. Mambo mengi yaliyofanywa tangu nyuma ndiyo yanaonekana leo. Na mpaka sasa bado mnawachukia hawa wahaya. Kama mnakubali kuwa wameelimika na elimu.ni ufunguo wa maisha, kwanini hawa wahaya wasifunguliwe maisha?
Wahaya wanapambana wapate stendi na soko, sawa, lakini hivi havitaondoa gepu ya uchumi wa kahawa, hasa Bukoba mjini.Watu wa Kagera wanashindwa kuishi na makabila mengine na wakiishi wenyewe wanabaguana huyu mziba huyu muhangaza huyu mnyambo nk hata wakiwa nje ya mkoa wao ni wabaguzi sanaa stand kuu ya mabasi ilitakiwa inengww tangu Kikwete lakinj ubaguzi wa sehemu ya kujenga ukiketa ugomvi kagasheki na kalumna mpaka leo pesa zinarudishwa vilevile soko hawa watu hawafai kuwa Watanzania wanaishi kama wanyama hawapendani ni wabaguzi wivu mkubwa kila mtu anataka yeye awe kinara ajulikane huwezi kuendelea kwahali hiyo kwanza wao kama wakaazi wazaliwa wenye mkoa wao wajitambue maana hata Daktari au mwalimu hataki kufanya kazi bukoba
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna wakati nilikuwa na issue fulani Mkoa wa Kagera, asilimia kubwa ya wahaya wakawa wananiambia wao sio watu wazuri, na kwamba Wana fitna, na kwamba nikitoka Kagera salama nishukuru Mungu.Watu wa Kagera wanashindwa kuishi na makabila mengine na wakiishi wenyewe wanabaguana huyu mziba huyu muhangaza huyu mnyambo nk hata wakiwa nje ya mkoa wao ni wabaguzi sanaa stand kuu ya mabasi ilitakiwa inengww tangu Kikwete lakinj ubaguzi wa sehemu ya kujenga ukiketa ugomvi kagasheki na kalumna mpaka leo pesa zinarudishwa vilevile soko hawa watu hawafai kuwa Watanzania wanaishi kama wanyama hawapendani ni wabaguzi wivu mkubwa kila mtu anataka yeye awe kinara ajulikane huwezi kuendelea kwahali hiyo kwanza wao kama wakaazi wazaliwa wenye mkoa wao wajitambue maana hata Daktari au mwalimu hataki kufanya kazi bukoba
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Pls usilinganishe mimba na Kitambi muhaya Kilimanjaro umefika au hata kupita?? Kagera hata stand ya mabasi hakuna chuo Kikuu hata kimoja hakuna unabishana kwa kututajia makabila so what?? Yamesaidiaje mkoa kutoka kwenye umaskini uliotopea ??Hakuna mhaya maskini acha habari zenu za hovyo.Wahaya ni sehemu ndogo ya mkoa wa kagera kama hiyo habari ulikuwa hujui.
Mkoa wa kagera una makabila yafuatayo:Wanyambo(wenyeji wa Karagwe),wasubi(wenyeji wa Biharamulo) wahangaza(wenyeji wa Ngara).
Nitajie sehemu yoyote ukiondoa hii miji na mkoa wa Kilimanjaro ambao watu wake kijijini wa na makazi bora kama sio kwa wahaya tu.
Nimekaa karibu sehemu zote hapa Tanzania ila ukitoka tu mjini huko kijijini ni hatari tupu
Kashakuja Themistocles Rugumamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kingereza kiingi Wazee wako wafwaaaa maweeeeKwahiyo katika hiyo research Kagera ndio mkoa wenye maskini tu?je hiyo research imeonyesha tatizo ni ubishi au ujuaji wa wahaya kama unavyosema?
Ukiachana research ambazo ziko published na zinafata hizo formalities za research,ukweli unabaki kuwa hakuna mhaya maskini.Kagera unaweza kuwa mkoa maskini lakini sio wahaya sawa.
Kingine ni kwamba hizo research kafanya nani?hawa watu ambao wamejua kuandika a,e,i,o,u juzi ndio wanasema wahaya maskini?don't bring these nonsensical research as a back up for your claims.Again,research isn't for poor people only those who are financially stable as we are can research.So,wait until we publish our own research.
Thank you brother,Happy easter day!
Achana na story za vijiweni, mada inataka kujua ni kwa nini unakua mkoa masikini kila list inapotangazwaMtausema sana huu mkoa. Watanzania mna roho ya kwanini.