Mkoa wa Kagera unakuwaje masikini wa kutupwa na una kila kitu?

Ukweli usemwe tu wahaya ni wajuaji sana. Mimi mama yangu mzazi ni mhaya lakini hashauriki wala haambiliki niliishamua kumuacha kama alivyo
 
Kijichi ni Wilaya au Mkoa?
 
Sababu ni zile zile tu zinazofahamika.. na almost mikoa mingi ya Tanzania iko ivyo..na sababu zinafanana everywhere
  • Inequality or social injustice
  • Lack of education
  • Poor basic infrastructure
  • Selfishness
  • Much know
  • Poor Government support
 
Muleba inaongoza kua na ma DR. na maprofesa wengi Tz
 

SERIKALI YA MAJIMBO NI SURUHISHO.
 
Education does not make someone to prosper but what make a man develop is its hardship behavior.As God directed man,no gain without loose.law of conservation of energy should be applied here to fulfill God's missions.
 
Huo umaskini unatokana na kuchangia pato dogo kwa Taifa kulinganisha na population iliyopo...so mkoa unaonekana maskini kwa serikali....
Solution ni serikali kuwekeza sana katika huo mkoa ili uchangie pato kubwa....
Wananchi wake watafanya maendeleo yao binafsi kama kujenga nyumba bora na mambo mengine madogo madogo...ambalo ndo.lipo sasa katika mkoa huu...hasa kimakazi...

Lakin bila uwekezaji wowote wa maana wa serikali mkoa hautachangia pato lolote kubwa kwa serikali..

NB.kagera inaongoza kulima kahawa, Ndizi, maharagwe, miwa, vanilla nk dagaa Bukoba wanatoka kagera nk nk....lakin hakunaga masoko yoyote makubwa mkoa huu...hawawezi kufanya biashara na uganda...kwa serikali ni uhujumu uchumi......imagina hata mji mkuu wa bukoba hauna hata soko lolote la kimataifa zaidi ya mabanda...mabasi na magari hayana stendi yoyote ya kupaki nk
 
Serikali haitaki kuwekeza masoko ya maana ya pamoja mipakani, hakuna mazingira wezeshi ya uwekezaji kama barabara bora, maji nk...

Wanawekeza huko mwanza nk kwa sababu ya mazingira bora ya kiuwekezaji...sidhani mtu utapoteza mtaji wako kuwekeza sehemu ambayo haina return kisa tu ni.kwenu...

Lakin nyumba bora za koo na koo na kuishi zinajengwa kote uhayani ndo maana vijijini huko kuna makazi bora tu
 
Sema mimi napenda kagera iendelee kutajwa hivi hivi Maskini...hata serikali itapakumbuka na kweli serikali imeanza kupakumbuka at least kwa kuanzisha vyuo vikuu kama UDSM nk...kupanua bandari ya kemondo na Bukoba...kujenga stendi ya mabasi...kuleta meli mpya ya mv mwanza...kujenga barabara ya ngara to karagwe kwa lami...kujenga hospital zao za wilaya kuliko kuachia kanisa ijenge hospital...kuupanua mji wa bukoba kwa kuongeza kata tisa nk...na kujenga barabara dual mjini bukoba...


Ni heri uitwe maskini kuliko kuitwa mkoa wako una maendeleo kumbe kihualisia hayapo...mfano mkoa Ruvuma unatajwa wa nne nchini kwa maendeleo lakin ukifika kule huoni maendeleo yoyote bora hata kagera...mikoa kama lindi, mtwara, pwani, shinyanga, njombe nk inatajwa ina maendeleo lakin kimsingi watu wake hata milo mitatu hawapati...so serikali itawaignore...


Kuna mkoa wa Kilimanjaro ambao nao unatajwa watu wake wana unafuu wa maisha lakin in reality huko rombo, same, mwanga, siha hadi maeneo ya moshi vijijini vijana wanaangamia, mkoa unakimbiwa kila kukicha na hakuna maendeleo yoyote ya maana yanayofanywa huko na serikali hata kujenga soko la kimataifa pale tarakea hakuna...wapo kwenye magendo tu
 
Mimi nimetembea mikoa ifatayo; mara,,dodoma,,morogoro na kigoma,,sasa naomba kati ya hiyo mikoa kama kuna mkoa vijiji vyake vina nyumba za thamani kama za mkoa kagera vijijini ataje ata wilaya moja tu.
 
Alafu kitu kingine niwakumbushe kwenye ripoti ya CAG ya nyuzi HAKUNA muhaya kahusika kwenye kashfa mbaya za wizi [emoji123][emoji1374][emoji1374],,msije kuleta uzi apa wahaya ni mafsadi [emoji13][emoji13]
 
Mwitikio wa wenyeji ni mdogo
 
Uliwe ninπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…