luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi
Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri mrefu?
Chanzo:Azam News
Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri mrefu?
Chanzo:Azam News