Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Makampuni yapi ? Mbona hamna ugunduzi kama wachina ....Matajiri hapa bongo top ten hamna mchaga ....Nyie ni vibaraka wa watakatishaji fedha , hamna maajabu .

Kmapuni zipi hizo ? Sio unaleta bars hapa unasema kampuni ?
Kampuni za ujenzi nchi nzima 30% zinamilikiwa na Wachaga,unajua mtaji unaotakiwa Uwe não Ili usajiliwe kampuni yako pale CRB?
KAMPUNI za mabasi nchi nzima 40% ni za wachaga je unajua walau bei ya basi Moja tu?
Précision air ni ya bwana shirima,je unajua bei ya ndege Moja?
 
Hamna kampuni za ujenzi acha uongo , madaraja yote yanajengwa na wachina hapa bongo 😀 😀 😀 ...Hao wakina shirima ujenzi sio kampuni labda wauza viwanja.

Unaongelea mabasi yapi ? Hiyo precision ina wawekezaji kibao achana na vibaraka, matajiri ni waarabu hapa bongo .
 
Back
Top Bottom