Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Mkuu kwa mfano wewe upo mkoa tofauti na mkoa wenu kwani lazima ukizeeka urudi mkoani kwenu?
Inategemea kila mtu ana mipango yake ...Kama wale mishe zao zipo town fresh anabaki .
 
Kaka usiwe mbishi Mwanza ina mambo mengi kitambo sana! Wewe unadhania Mwanza iko hapo imeenza juzi! Kusoma Ulaya kwa sehemu kubwa ulikuwa ni ufadhili wa Wazungu. Ndo maana nakwambia Mwanza akina na Makongoro,Madaha na watu wengine wenyeji wa Mwanza kutoka familia za Kitemi walisoma Ulaya kama huyo Mareale unayemsema!
Fatila wakati wa kupata uhuru Mwalimu Nyerere alipata support wapi kama sio Ukanda wa Pwani,Kaskazini kwenu na Usukumani kwa mzee Madaha!
Kwa hiyo unapojisifu usidhanie watu wengine walikuwa hawajui mambo ya elimu lakini pia ujue mkoa kama Mwanza umekuwa na wasomi wengi sana mfano wasomi kutoka wilaya ya Ukerewe!
Ina mambo mengi lakini kwa Kilimanjaro Bado
Kilimanjaro ilipata exposure Tangu enzi ya mkoloni wakati huo MWANZA na ukerewe unayosema inajitafuta
Kumbuka wasomi wengi uchagan walisomeshwa na kahawa, ukiachilia mbali scholarship
Chama chá ushirika chá kahawa KNCU kilikuwa na fedha nyingi mno Hadi Léo maghorofa kadhaa pale Moshi mjini yanamikikiwa na KNCU,KNCU ilijenga mashule na ma baarabara kabla hâta ya uhuru ndio MAANA Nyerere akaogopa akafuta utawala WA machifu MAANA Kilimanjaro ilkuwa mbele kuliko eneo lolote tz,imagine miaka ya 1960 lami tayari ilikuwepo machame,kibosho NK
imagine Kilimanjaro na wilaya zake umeme upo Tangu miaka ya 1980
 
Soma uelewe kwamba population ya wazee ni kubwa kwa asilimia kadhaa sio uwingi wa wazee. 😀 😀 ile asilimia 7 ni kwa idadi ya watu wa kilimanjaro , je asilimia 3 ya wa Dar unajua ni ngapi ? Sehemu yenye watu milion 5 .
Umekimbia Mada Yako? Hebu soma ulicho reply na nilichoandika😄😄
Umesema Wachaga wamekalia kuajiriwa Ktk Makampuni na kwamba hawana ubunifu nimekupa facts hapo za Makampuni ya Wachaga,na kuongoza kwa biashara vipi unasemaje
 
Pia mabinti zao wanaongoza sana kuolewa huko Daslamu, ukitembelea kumbi mbalimbali Jumamosi utagundua 80% wanaoolewa ni watu wa Kilimanjaro.
 
Umekimbia Mada Yako? Hebu soma ulicho reply na nilichoandika😄😄
Umesema Wachaga wamekalia kuajiriwa Ktk Makampuni na kwamba hawana ubunifu nimekupa facts hapo za Makampuni ya Wachaga,na kuongoza kwa biashara vipi unasemaje
Makampuni yapi ? Mbona hamna ugunduzi kama wachina ....Matajiri hapa bongo top ten hamna mchaga ....Nyie ni vibaraka wa watakatishaji fedha , hamna maajabu .

Kmapuni zipi hizo ? Sio unaleta bars hapa unasema kampuni ?
 
Sasa jaman huko mwanza usukumani wazee si wanauwawa kwa kusinguziwa uchawi, vijana maisha yakiwachapa wanauwa wazee kisa uchawi
 
Bado huelew na wewe
Mfano tuseme sahivi Kilimanjaro ina wazee 10 na vijana 100 je wakiongezeka tena vijana 500 idadi ya wale wazee 10 itapungua wala kuongezeka? Si ita remain costant?
Mm ninazungumzia idadi ya wazee wenye miaka 65+ na sio Vijana
2:Kwani mikoa mingine yenye wazee baada ya Kilimanjaro yenyewe haina vijana mikoani?
3:kwani mikoani vilevile hakuna wazee 65+ ambao ni wana Kilimanjaro?
Wew jamaa rudi shule, statistics inakusumbua,
 
Back
Top Bottom