Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Soma uelewe kwamba population ya wazee ni kubwa kwa asilimia kadhaa sio uwingi wa wazee. 😀 😀 ile asilimia 7 ni kwa idadi ya watu wa kilimanjaro , je asilimia 3 ya wa Dar unajua ni ngapi ? Sehemu yenye watu milion 5 .
Yaani huyu jamaa nachekesha sana! Kwa hiyo Mwanza wanaojenga magorofa ni Wachaga? Kwanza hata hajui Wachaga Mwanza ni wafanya biashara wa kawaida tu! Hakuna Tajiri Mchaga mwanza hata anayefahamika kama akina Gachuma au Kishimba!
Unajua Wachaga wanajua biashara ni maduka tu amabayo kwa sasa kila jamii inafanya na kwa mfano Mwanza wanaojenga kwa sehemu kubwa ni watu wa Migodi na biashara za Uvuvi sasa sijajua hao Wachaga wa Mwanza wanaojenga magorofa wanafanya biashara gani!?
Au ndo kama ilivo kawaida yao wakiona gorofa moja ya mchaga tayari wanajua mji mzima magorofa ni ya Wachaga!
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa kilimanjaro watu wana life span kubwa sana especial upareni.nadhani ni lifestyle lao na chakula asili.
 
Kama wameangalia parcentage maana yake mikoa ya Kilimanjaro na Mtwara vijana wanakimbia na kuacha wazee wengi. Siyo jambo la kushangilia.
Hoja ni kwamba life expectancy yao ni kubwa kuliko mikoa mingine, yaani mkoa una watu wengi wenye umri mkubwa, which is true mimi baba yangu amekufa na miaka 78 , mama ana 83 years na anatembea mpaka shamba, anakamua maziwa nk....pale kijijini wazee above 70 ni wengi sana...
 
Ni kweli hata mimi kijijini kwetu wenye above 70 ni wengi sana. Kilimanjaro haina mpinzani

Kwa hilo. Kanda ya ziwa acheni kuuwa vikongwe na maeneo msitelekeze wazee
 
Hoja ni kwamba life expectancy yao ni kubwa kuliko mikoa mingine, yaani mkoa una watu wengi wenye umri mkubwa, which is true mimi baba yangu amekufa na miaka 78 , mama ana 83 years na anatembea mpaka shamba, anakamua maziwa nk....pale kijijini wazee above 70 ni wengi sana...
Kajifunze kutafsiri takwimu.
 
Umeelewa mada kweli??
Unatka nikueleweshe ? Umesoma shule gani? Huo ni uwiano wa wazee kwa population , asilimia saba ya watu wa kilimanjaro kwa idadi haifika hata asilimia 3 ya watu wa dar .Kumbuka kwa asilimia ya mkoa husika , Dar ina watu milion 5 na kilimanjaro hawazidi hata milion 2.

Sasa soma mjinga mwenzio kaandika nn then rudia!?
 
Report yote ya sensa umeisoma na kuielewa? Kwa mujibu wa sensa report ni mkoa gani unaongoza kwa kuwa na watu wenye umri mkubwa above 65 yrs?? Karibu..
 
Report yote ya sensa umeisoma na kuielewa? Kwa mujibu wa sensa report ni mkoa gani unaongoza kwa kuwa na watu wenye umri mkubwa above 65 yrs?? Karibu..
Wewe umeelewa ? Ile ni asilimia kutokana na idadi ya watu wa mkoa husika ...Wakati watu wanasome hesabu za asilimia ulikuwa wapi?

Elewa kilimanjaro ndio ina asilimia kubwa kwa wazee kutokana na popolation yao sio idadi kubwa kwa wingi ..
 
Hali ya hewa ya Kilimanjaro, pamoja na mandhari yake ni nzuri sana kwa wazee kuishi bila bughudha...
 
Maendeleo wapi? Wakati wazee hao ni mzigo ....Mnakaa kweny mikoa ya wtau kufanya utapeli mkizeeka mnarudi kwenu 😀 😀
Mkuu kwa mfano wewe upo mkoa tofauti na mkoa wenu kwani lazima ukizeeka urudi mkoani kwenu?
 
Wazee wengi kwa sababu vijana wengi wanakimbia maisha ya vijijini.
Mkuu mada inayozungumzwa ni idadi ya wazee nchi nzima Kilimanjaro inaongoza kuwa na wazee wengi kuliko Mikoa yote Tanzania.
 
Wanakimbia au wamesoma wapo Kila mahali ndani na nje ya nchi
Mkuu nisaidie kidogo mbona waMarekani na Waingereza, South Africa, wanesoma na wana maisha mazuri mbona hawa kimbii nchi zao kwenda kufanya kazi sehemu nyingine?
 
Vijijini wazee ni wengi kulko mjini, Kilimanjaro watu wengi wanaishi ktk mazingira ya vijiji, mji ni mdogo sana, mjini ni kaeneo kadogo tu hvo wana maintain utulivu ukizingatia hospitals zipo na zina mudu watu ,Unlike mikoa mingne watu wengi huduma za kijamii chache ,Refer : Mwanza and Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom