Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Kilimanjaro imejengwa vijijini kuliko mjini,NBS wanatutanabaisha Kilimanjaro ndio Mkoa wenye makazi ya kisasa vijijini kwa 90%
Kilimanjaro 80% ya Kila Kaya ina maji na umeme(vijijini), Kilimanjaro hakuna nÿumba ya nyasi kabisa(nenda Kilimanjaro ukikuta nÿumba ya nyasi ya makazi nakupa m 1)
MWANZA ni mjini tu vijijini watu Wana share maji na ngombe
Mwambie kilimanjaro hawajawahi kuwa na tatizo la madawati, sijui vyoo mashuleni nk wanachi wanatengeneza madawati wenyewe, wanajenga dispensary na hata kupanua vituo vya Afya wenyewe, wanajenga mashule wenyewe, wanachimba barabara wenyewe, Miradi mingi tu ya maji ni ya wananchi wenyewe nk nk serikali inakuja tu kusaidia. Nafikiri asifananishe Kilimanjaro na vitu vya ajabu ajabu
 
Mwambie kilimanjaro hawajawahi kuwa na tatizo la madawati, sijui vyoo mashuleni nk wanachi wanatengeneza madawati wenyewe, wanajenga dispensary na hata kupanua vituo vya Afya wenyewe, wanajenga mashule wenyewe, wanachimba barabara wenyewe, Miradi mingi tu ya maji ni ya wananchi wenyewe nk nk serikali inakuja tu kusaidia
Kwa hiyo Mwanza ndo wanalala na ng'ombe?
Mnapenda san kujisifu ila kama ni shule kuwepo Mwanza ni moja ya mikoa yenye wasomi wa mwanzo kabisa wakati aa uhuru! Makongoro,Madaha,Bomani nk!
 
Kwa hiyo Mwanza ndo wanalala na ng'ombe?
Mnapenda san kujisifu ila kama ni shule kuwepo Mwanza ni moja ya mikoa yenye wasomi wa mwanzo kabisa wakati aa uhuru! Makongoro,Madaha,Bomani nk!
Ati mwanza? Kabla ya uhuru Kilimanjaro ilikuwa vizuri kiuchumi maana hata mashule mengi yalijengwa na kncu kina lyamungo,weruweru,machame girls,ashira nk
Serikali ilikuwa inakopa hela kncu wachaga walisomeshwa kwa wingi na kahawa hvyo wasomi wengi kbla ya uhuru walkuwepo
Mangi mareale mwenyewe alipta masters yake Cambridge mwaka 1942
 
Mwambie kilimanjaro hawajawahi kuwa na tatizo la madawati, sijui vyoo mashuleni nk wanachi wanatengeneza madawati wenyewe, wanajenga dispensary na hata kupanua vituo vya Afya wenyewe, wanajenga mashule wenyewe, wanachimba barabara wenyewe, Miradi mingi tu ya maji ni ya wananchi wenyewe nk nk serikali inakuja tu kusaidia. Nafikiri usifananishe Kilimanjaro na vitu vya ajabu ajabu
Mwaka 2017 wananchi wa vunjo walichanga bilion 7 cash kukarabati barabara zote za jimbo hii haiwez tokea popote Tanzania
 
Asilimia kubwa ya wazee inaweza maanisha vijana wanakimbia eneo hilo sababu maisha magumu au watu hawazaliani.
Watu wangekimbia mkoa huo ungekuwa wa 3 kitaifa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa?
Mkoa ungekuwa wa kwanza kitaifa kwa makazi bora vijijin?
Mkoa ungeongoza kwa kuwa na miundombnu toshelezi kwa 90%?
Mkoa ungekuwa wa kwanza kitaifa kwa sekondari nyingi?
 
1:Wewe umeishia darasa la nne hujui kitu
Kwahyo vijana wangekuwepo ingeondoa idadi ya wazee hao?(madhara ya kutokwenda shule haya)
2:Vijana au watu wengi wa Kilimanjaro either ni wasomi au wafanya biashara hivyo mtawanyiko haukwepeki,kila eneo nchi hii na hata nchi za nje nyingi tu hukosi mtu wa Kilimanjaro tena wakiwa vizuri economically (sijui kama unaelewa lugha ya malkia maana ulikimbia umande)
3😛ole kwa wivu nikikwambia Kilimanjaro ni mwalimu wa kila idara, life style,makazi bora,elimu,uchumi imara nk ndivyo vinaipaisha Kilimanjaro
Hongereni, ila mpaka leo bado hamna jiji mna manispaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ati mwanza? Kabla ya uhuru Kilimanjaro ilikuwa vizuri kiuchumi maana hata mashule mengi yalijengwa na kncu kina lyamungo,weruweru,machame girls,ashira nk
Serikali ilikuwa inakopa hela kncu wachaga walisomeshwa kwa wingi na kahawa hvyo wasomi wengi kbla ya uhuru walkuwepo
Mangi mareale mwenyewe alipta masters yake Cambridge mwaka 1942
Kaka usiwe mbishi Mwanza ina mambo mengi kitambo sana! Wewe unadhania Mwanza iko hapo imeenza juzi! Kusoma Ulaya kwa sehemu kubwa ulikuwa ni ufadhili wa Wazungu. Ndo maana nakwambia Mwanza akina na Makongoro,Madaha na watu wengine wenyeji wa Mwanza kutoka familia za Kitemi walisoma Ulaya kama huyo Mareale unayemsema!
Fatila wakati wa kupata uhuru Mwalimu Nyerere alipata support wapi kama sio Ukanda wa Pwani,Kaskazini kwenu na Usukumani kwa mzee Madaha!
Kwa hiyo unapojisifu usidhanie watu wengine walikuwa hawajui mambo ya elimu lakini pia ujue mkoa kama Mwanza umekuwa na wasomi wengi sana mfano wasomi kutoka wilaya ya Ukerewe!
 
Hahahaha matajiri wazawa ukiondoa WA Hindi ni kinaa nani? Sio Wachaga? Nikutajie makampuni ya Wachaga? Sio ubunifu huo?
1: Makampuni ya mabasi nchi nzima karibia 40% yanamikikiwa na Wachaga
2:Makampuni ya ujenzi karibu 20% ni ya Wachaga pekee
3:Wafanyabiashara WAkubwa Wachaga ndio wenyewe
4: Maghorofa MWANZA
5: maghorofa Arusha
6:Kampumi ya ndege precision air unamjua mwenye nayo? Yani wewe uliefeli darasa la nne una ubunifu wowote?
Soma uelewe kwamba population ya wazee ni kubwa kwa asilimia kadhaa sio uwingi wa wazee. 😀 😀 ile asilimia 7 ni kwa idadi ya watu wa kilimanjaro , je asilimia 3 ya wa Dar unajua ni ngapi ? Sehemu yenye watu milion 5 .
 
Utapeli? Tapeli anaweza kumiliki Makampuni,kujenga majumba Kila mahali? MAANA mchaga akikaa mahali miaka 5 asijenge ni Nadra wewe Akili zako zinakutosha kuvaa msuli na kuanika má kende tu
Matapeli wakubwa ndio mmeleta utapeli na wizi.
 
Kaka usiwe mbishi Mwanza ina mambo mengu kitambo sana! Wewe unadhania Mwanza iko hapo imeenza juzi! Kusoma Ulaya kwa sehemu kubwa ulikuwa ni ufadhili wa Wazungu kwa Ndo maana nakwambia Mwanza akina na Makongoro,Madaha na watu wengine wenyeji wa Mwanza kutoka familia za Kitemi walisoma Ulaya kama huyo Mareale unayemsema!
Fatila wakati wa kupata uhuru Mwalimu Nyerere alipata support wapi kama sio Ukanda wa Pwani,Kaskazini kwenu na Usukumani kwa mzee Madaha!
Kwa hiyo unapojisifu usidhanie watu wengine walikuwa hawajui mambo ya elimu lakini pia ujue mkoa kama Mwanza umekuwa na wasomi wengi sana mfano wasomi kutoka wilaya ya Ukerewe!
Huyo jamaa ni mjinga sana , anaposema asilimia fulani ni kutokana na idadi ya kilimanjaro .Hiyo asilimia saba haifikia hata idadi ya asilimia 4 ya watu Dar maana kuna watu milion 5 na wao hata milion 2 hawafiki .

Hili ndio tatizo lao kwenye uwizi mtu hata hana uelewa wanajumlisha eti ni wengi .. 😀 😀 😀
 
Wachaga wapondeni tu hapa mimi nimezunguka maeneo yao mengi wanakula vyakula vya asili harafu vinapatikana na wengi wao watoto wao wanajiweza huko Mjini na hawajatelekezwa wamejengewa nyumba nzuri maisha yanaendelea ni jamii chache Tanzania nimeona bara bara ya lami mpaka kijijini kama huko Uchagani kwa maisha hayo wataishi maisha marefu sana.
Hongera kwenu kwa ninyi wapambanaji bhana..ngoja nasi tuchukue Miguu yenu
 
Watu wangekimbia mkoa huo ungekuwa wa 3 kitaifa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa?
Mkoa ungekuwa wa kwanza kitaifa kwa makazi bora vijijin?
Mkoa ungeongoza kwa kuwa na miundombnu toshelezi kwa 90%?
Mkoa ungekuwa wa kwanza kitaifa kwa sekondari nyingi?
Waliopata wamepata na kutajirika. Hakuna fursa tena kwa vijana. Hakuna ardhi kwa ajili yao walal shughuli ya maana ya kiuchumi. Ndiyo maana wanakimbia.
 
Back
Top Bottom