luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Maelezo sahihi yanatakiwa kuwa, Kilimanjaro ndio mkoa unaongoza kuwa na rundo kubwa la wazee waliorudi na kutelekezwa, huku wakiishi na vijana rejects ambao walikimbia mikoa mingine Hali ikawa ngumu wakarudi.Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi
Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri mrefu?
Chanzo:Azam News
1:Wewe umeishia darasa la nne hujui kituMkoa una wazee kibao vijana wanaondoka kwenda mjini , wakazi wake ni wengi tu hakuna lina watu wengi kama wachaga kwa kanda nzima .
1:Huna unachojua,mtu akitelekezwa ataishi umri mrefu? Hivi umeishia la ngapi? Nisije kuwa nina argue na mtu wa memkwaMaelezo sahihi yanatakiwa kuwa, Kilimanjaro ndio mkoa unaongoza kuwa na rundo kubwa la wazee waliorudi na kutelekezwa, huku wakiishi na vijana rejects ambao walikimbia mikoa mingine Hali ikawa ngumu wakarudi.
1:Wewe umeishia darasa la nne hapo majita road hujui kitu labda kutega kokoro
Kwahyo vijana wangekuwepo ingeondoa idadi ya wazee hao?(madhara ya kutokwenda shule haya)
2:Vijana au watu wengi wa Kilimanjaro either ni wasomi au wafanya biashara hivyo mtawanyiko haukwepeki,kila eneo nchi hii na hata nchi za nje nyingi tu hukosi mtu wa Kilimanjaro tena wakiwa vizuri economically (sijui kama unaelewa lugha ya malkia maana ulikimbia umande)
3😛ole kwa wivu nikikwambia Kilimanjaro ni mwalimu wa kila idara, life style,makazi bora,elimu,uchumi imara nk ndivyo vinaipaisha Kilimanjaro
Naam maana Kilimanjaro wana vyakula vingi natural mfano viazi vikuu,ndizi,magimbi nkLabda ulaji wao.
Elewa maana ya miaka 65rombo unaweza kusema wote ni wazee ukipishana nao
vipi mkuu sisi wameru takwimu zinasemaje huko? hebu ning'ate sikio tunaishi sana ama tunakufa mapema?Elewa maana ya miaka 65
Tembea uwone, usione nyumba moja ya mchaga wanavyoishi uka generalized wachaga woteMaelezo sahihi yanatakiwa kuwa, Kilimanjaro ndio mkoa unaongoza kuwa na rundo kubwa la wazee waliorudi na kutelekezwa, huku wakiishi na vijana rejects ambao walikimbia mikoa mingine Hali ikawa ngumu wakarudi.
wewe ndio hujaelewa, vijana wangekuwa wengi asilimia ingeshuka toka 7.3 kuja figure ndogo zaidi, unamsema mwenzako la nne wakati na wewe hesabu inakupiga chenga1:Wewe umeishia darasa la nne hujui kitu
Kwahyo vijana wangekuwepo ingeondoa idadi ya wazee hao?(madhara ya kutokwenda shule haya)
2:Vijana au watu wengi wa Kilimanjaro either ni wasomi au wafanya biashara hivyo mtawanyiko haukwepeki,kila eneo nchi hii na hata nchi za nje nyingi tu hukosi mtu wa Kilimanjaro tena wakiwa vizuri economically (sijui kama unaelewa lugha ya malkia maana ulikimbia umande)
3😛ole kwa wivu nikikwambia Kilimanjaro ni mwalimu wa kila idara, life style,makazi bora,elimu,uchumi imara nk ndivyo vinaipaisha Kilimanjaro
Mkuu unabishana na mvuta kokoro ambaye hata hajasafiri kilometa 100 toka kazaliwa, msamehe bureTembea uwone, usione nyumba moja ya mchaga wanavyoishi uka generalized wachaga wote
Bado huelew na wewewewe ndio hujaelewa, vijana wangekuwa wengi asilimia ingeshuka toka 7.3 kuja figure ndogo zaidi, unamsema mwenzako la nne wakati na wewe hesabu inakupiga chenga
Bado huelew na wewewewe ndio hujaelewa, vijana wangekuwa wengi asilimia ingeshuka toka 7.3 kuja figure ndogo zaidi, unamsema mwenzako la nne wakati na wewe hesabu inakupiga chenga