Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

Waziri anayehusika na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bado hajatoa taarifa za mapato na matumizi kwa Robo ya Nne, RC atulie kwanza, Waziri mwenye dhamana taarifa yake huwa inakuwa kwa Halmashauri.
Asante
# Mungu uwe pamoja na Rais wetu SSH
 
Hayo malengo huwekwa na serikali au kila Halmashauri hujiwekea wenyewe?

Almost kila Halmashauri inadai imevuka malengo nchi hii.[emoji16].
Malengo ya ukusanyaji wa mapato yanawekwa wakati wa kuanda
Mpango na Bajeti kwa mwaka husika, kila Halmashauri au Mamlaka/Taasisi ya Serikali inakadiria makusanyo yake kwa mwaka wa fedha husika kutokana na vyanzo walivyo navyo, then makadirio hayo yanawasilishwa katika Mamlaka mbali mbali kwa ajili ya approval
#Mungi uwe pamoja na Raisi wetu SSH
 
Hayo malengo huwekwa na serikali au kila Halmashauri hujiwekea wenyewe?

Almost kila Halmashauri inadai imevuka malengo nchi hii.😁.
Halmashauri zinajiwekea na kupitishwa na Madiwani husika..

Kiufupi Mwaka huu makusanyo ya Halmashauri yamevuka malengo na ni mara ya kwanza kufanyika hivyo..

Hata TRA haijavuka ila imekusanya 99% ambayo nayo haijawahi fikiwa.
 
Waziri anayehusika na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bado hajatoa taarifa za mapato na matumizi kwa Robo ya Nne, RC atulie kwanza, Waziri mwenye dhamana taarifa yake huwa inakuwa kwa Halmashauri.
Asante
# Mungu uwe pamoja na Rais wetu SSH
RC ametoa yanayohusu Mkoa wake hajaingilia mamlaka ya Waziri.Simiyu pia wametoa.
 
Ni kweli mkoa wetu ni mdogo sana zaidi ya 60% ni maji, licha ya udogo wetu lakini huwa tunazidiwa na Dar tu kiuchumi GDP ya Mwanza imewaacha mbali sana.
Nilikwambia weka Takwimu za GDP ukaingia mitini saizi unakuja na wimbo mwingine..

Mbeya ina watu wachache kuliko Mwanza ila tunachozalisha ni kikubwa per Capita kuliko nyie mko zaidi ya milioni ila wote ni wavivu kama watoto wa nguruwe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unataka takwimu gani nikupe!
 
Wangekuwa wavivu si wangekuwa na gdp kama zenu za nyanda za juu kusiniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wangekuwa wavivu si wangekuwa na gdp kama zenu za nyanda za juu kusiniπŸ˜‚πŸ˜‚
Hilo GDP bali unakula kile mnachogawana ,ndo hapo Sasa mnalala njaa na kulala kwenye mabanda ya nguruwe mnayoita nyumba πŸ˜†πŸ˜†
 

Attachments

  • IMG-20220509-WA0008.jpg
    44.5 KB · Views: 7
Current population ya mwanza unaijua? Shukuru sana kupewa ata hiyo kazi ya kuwa chawa nyapara.
Ndio Takwimu umeleta? πŸ˜‚πŸ˜‚

Umetepeta tayari..Niko humu toka 2017 na hii thread na ile ya Njombe nilianzisha mimi..

Kipindi hicho nilikuwa chawa WA nani?
 

Attachments

  • Screenshot_20220723-153524.png
    185.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220723-154011.png
    56.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220723-153708.png
    51.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220723-154146.png
    30.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220723-154224.png
    25.8 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…