Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

Hapa sasa safi umeshasanda ndivyo nilitaka sasa..

Mbeya sio size yenu.
Hapa vipi .ulihho
IMG_20220707_062726.jpg
 
Kwa kutumia data hiyo . ambayo sio hata ya mwaka mzima.mwanza mmeizidi shilingi milioni 150 tu ... tena mwanza imekusanya nje ya lengo kutokana na urasimu wa viongozi .kama ukiondoa ubadhirifu wa mapato . mwanza ilikuwa inakusanya bilioni 43 na Mbeya bilioni 42 .tungewapiga gepu safi la bilioni 1..hapo vyanzo vya mapato bado haijafunguliwa kama utra bus terminal,central market,
 
Nimeleta Takwimu za mkoa,wapi mlipozidiwa mil.150 wewe laghai kama Jiwe.
 
Back
Top Bottom