Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hakuna kitu zaidi ya Asali , ni mkoa wa kimaskini wanaeneo kubwa la ardhi lakini wameshindwa kulitumia vzr. Hata hiyo tumbaku haijawasaidia kitu bado mkoa upo gizaniUliwafuatilia wakulima wa tumbaku vizuri?
Mzee baba niko castle can ya 14 hapa nacheki game ya asenyo....Tabora umefika mzee? Hao wakulima wa tumbaku ulibahatika kufika huko wanakolimia? I've been there...kwa mtu anaejutafuta kupambana na hicho kilimo kikutoe sio rahisi man! Ni mchakato mrefu sanaUliwafuatilia wakulima wa tumbaku vizuri?
Kama wamezaliwa huko inawabidi tu washi hawana pakwenda ila mtu akitoka hatatamani kurudiKwamba waliopo huko wameshajipata?
Sawa kuanzia kesho tutafanya redearch vizuri 😎Mama yangu anachukua karanga na asali kutoka tabora anauza mwanza na ana pesa ya kueleweka! Msidharau mikoa bila kuifanyia redearch vizuri!
Majority wako hoi kiuchumi ni wachache wanamafanikioMama yangu anachukua karanga na asali kutoka tabora anauza mwanza na ana pesa ya kueleweka! Msidharau mikoa bila kuifanyia redearch vizuri!
Kwa hiyo kama wameshindwa kulitumia zao la tumbaku vizuri na halijawasaidia , inafanya huo mkoa kutokuwa na fursa?Hakuna kitu zaidi ya Asali , ni mkoa wa kimaskini wanaeneo kubwa la ardhi lakini wameshindwa kulitumia vzr. Hata hiyo tumbaku haijawasaidia kitu bado mkoa upo gizani
Ofcoz Yes Tabora ina fursa chache sana , wenwenyewe si unaona unataja tumbaku tu hakuna kingineKwa hiyo kama wameshindwa kulitumia zao la tumbaku vizuri na halijawasaidia , inafanya huo mkoa kutokuwa na fursa?
Redearch ndio nini?Sawa kuanzia kesho tutafanya redearch vizuri 😎
Miji yote aliyopita mwarabu kama kuna kalaana fulani ivi.Majority wako hoi kiuchumi ni wachache wanamafanikio
Ww c ndo umeandika hvyRedearch ndio nini?
Wanaishije?Majority wako hoi kiuchumi ni wachache wanamafanikio
Kwenye post yako ulifanya typing error ResearchRedearch ndio nini?
Chukua point acha uzwazwa mbagala we!Ww c ndo umeandika hvy
Mnaona makosa sana wakuu😃Kwenye post yako ulifanya typing error Research
Wanaoweza kuishi vzr ni watumishi wa uma , nje ya hapo wanaishi kwa kutegemea wahisani ambao ni ndg zao wawapige toughWanaishije?
Sichukui, nmeisoma 😎Chukua point acha uzwazwa mbagala we!