Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Mzee baba niko castle can ya 14 hapa nacheki game ya asenyo....Tabora umefika mzee? Hao wakulima wa tumbaku ulibahatika kufika huko wanakolimia? I've been there...kwa mtu anaejutafuta kupambana na hicho kilimo kikutoe sio rahisi man! Ni mchakato mrefu sana
Baki hapo mpaka mwisho wa mwezi mei walipwe hela za tumbaku uone maisha yao halisi.
 
Back
Top Bottom