Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Naona umeamua kua mtabiri sasa,

Siku ikitokea wachina wakaenda huko Tabora na kuibua fursa,
Yataanza kuja malalamiko humu kua wachina wanachukua ajira zetu!
Hapo sikupingi serikali inauwezo wa kuufanya mkoa wa Tabora uwe wa viwanda sio lazma uchumi utokane na kilimo pekee , tunahitaji visionary leader wa kui boost Tabora
 
Tuchukulie mfano wa mikoa kama Dubai UAE au Doha Qatar,
Je ni mkoa gani Tz ambao sio wavivu wana utajiri kuliko hiyo mikoa ya hao waarabu?

Yani mpaka miaka hii bado tu mnatafuta wakumtupia lawama?
Tunao wazungumzia ni waarabu wa miaka ile waliokuja kwa biashara za utumwa na mafundisho ya dini hao wa Dubai ni wasikuhizi walio elimika
 
Tunao wazungumzia ni waarabu wa miaka ile waliokuja kwa biashara za utumwa na mafundisho ya dini hao wa Dubai ni wasikuhizi walio elimika
Kwa hiyo, hiyo mikoa uliyoitaja kua haina maendeleo kisa waarabu,yenyewe bado inakaliwa na watu wale wale wa miaka ile? hakikuja kizazi kingine?
wao hawakutaka kuelimika na kubadili maisha yao?
 
Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda.

Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
Nimeishi Tabora kusema ukweli mkoa bora sana kwangu kwenye utafutaji ni Tabora huu ujinga wa kusema Tabora pagumu sijui mmetoa wapi yawezekana wewe ulienda kwa biashara ya ukahaba
 
Kwa hiyo, hiyo mikoa uliyoitaja kua haina maendeleo kisa waarabu,yenyewe bado inakaliwa na watu wale wale wa miaka ile? hakikuja kizazi kingine?
wao hawakutaka kuelimika na kubadili maisha yao?
Mazoea ujenga tabia , walizoeshwa hivyo wamejikuta imekuwa tabia sugu, ndugu yqngu sina chuki na Mkoa wa Tabora jiulize kwanini nimeacha kuitaja mikoa yote ya Tanzania niutaje mkoa wa Tabora , nakuomba utembelee kule utajioneq hali ya umaskini iliyopo
 
Mazowea ujenga tabia , walizoeshwa hivyo wamejikuta imekuwa tabia sugu, ndugu yqngu sina chuki na Mkoa wa Tabora jiulize kwanini nimeacha kuitaja mikoa yote ya Tanzania niutaje mkoa wa Tabora , nakuomba utembelee kule utajioneq hali ya umaskini iliyopo
Nafikiri hata huelewi unacho kijadili hapa,mimi hapa najadili sababu uliyoiweka eti kisa waarabu! sababu yako haina mashiko kabisa,

Sasa hao waarabu mbona wao hayo mazowea hujenga tabia hayaja waathiri wao mpaka leo? nchi zao almost zote zimeendelea na wana utajiri?

Acheni kutafuta pakujifichia au wakumtupia lawama badala ya kuangalia na kutatua matatizo husika mliyo nayo,hizo lawama mtaendelea kuzitumia au kuzielekeza kwa wengine mpaka lini sasa?
 
Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda.

Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
upo nyuma kivipi? hebu toa ufafanuzi,pia unasema umepoa kwa ushahidi gani? Tuelezee ili tukuelewe
 
Back
Top Bottom