Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda.

Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
Yaani kupita tu njia ndo umesha jiona unaujua mkoa vizuri hadi kufanya hitimisho kuwa hauna fursa? Nadhani umekurupuka bro.
 
Nimesoma comments za uzi, nadhani mleta uzi hamjamuelewa au hata mimi sijamuelewa pia. Kiukweli Tabora kama mji ni pa hovyo sana ni kweli kuna umaskini mkubwa na mzunguko wa pesa ni mdogo sana. Kwa mgeni yoyote ambae sio mzawa wa pale hawezi kuishi Tabora ni pagumu , ndio maana wanyamwezi uwa wakiondoka hawarudi kujenga kwao au kuishi tu baada ya kustaafu. Kuna umaskini wa kutisha, Nzega pamechangamka kuliko Tabora na mzunguko wa pesa na mishe mishe zinaizidi Tabora. Kiufupi, tabia ya umwinyi ndio imeidumaza Tabora.
NB. Naiongelea Tabora ya miaka hio 90s hadi 2000s sijui kwa sasa hivi maana baadae sikurejea tena.
 
Asomaye na afahamu
 
Back
Top Bottom