Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Sio Tanzania tu, naizunguka dunia kwenye mhimili wake , sio kama wewe unapita na kigari chako barabarani unakuja dai tabora hakuna fursa , tumekuonyesha kwa mifano hai, chali😅
Kwakuwa bado naishi insshalaah nitagonga visa sana lakini ngoja kwanza nimalizane na Bongo land na ki gari changu kama unavyokiita
 
Hivi,huyu mleta uzi Moto wa volcano tukimkabidhi pale Kandiloni,ng'ambo kwa Boga avue kambale siyo fursa kwake na akawa tajiri?
 
Kwakuwa bado naishi insshalaah nitagonga visa sana lakini ngoja kwanza nimalizane na Bongo land na ki gari changu kama unavyokiita
Uje nadata za uhakika na sio hizi ulizo andika hapa izunguke tabora kwa mapana yake

Hauwezi udharau mkoa ulio tutoa tukakuacha salama
 
Back
Top Bottom