Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #201
Nikija Tabora nita ku PM ili tuonane ila tu usije na baiskeli huku umevaa yebo yebo (utani)Nimeishi na imeinvest Tabora mpaka sasa.
Nikija Tabora nita ku PM ili tuonane ila tu usije na baiskeli huku umevaa yebo yebo (utani)Nimeishi na imeinvest Tabora mpaka sasa.
Sio yote baadhiJe,una habari kila iitwayo leo,misemo ya wahenga inakuwa batili kwa viwango vya juu sana?
Utakuja kutapeliwa ndugu kwa kupenda mionekano nadhifu.Nikija Tabora nita ku PM ili tuonane ila tu usije na baiskeli huku umevaa yebo yebo (utani)
Hiyo baadhi imekushangaza kwa kiwango gani?Sio yote baadhi
Muoneekano unaongea kuhusu status na uchumi wa mtu halafu unamchunguza na mindssetUtakuja kutapeliwa ndugu kwa kupenda mionekano nadhifu.
Halafu huwezi kuamini huenda wote waliokupinga, Mnyamwezi asiwepo hata mmoja!Bahati mbaya wanyamwezi mmejaa sina mtetezi nimekubali kushindwa
Ukweli upo usipuuze misemo ya wahenga imebeba maana nzitoHiyo baadhi imekushangaza kwa kiwango gani?
Wapo wamasai wanaishi ancient life , wakiuza ng'ombe zao wana uwezo wa kununua vigari 3000 kama hicho cha kwako unachopiga nacho Road trip huko tabora na chenji ikabakiWa Hadzabe wanaishi ancient life
Kumbe utaja tapeliwa kirahisi sana.Nakuombea kheri.Muoneekano unaongea kuhusu status na uchumi wa mtu halafu unamchunguza na mindsset
NAOMBA NIKUULIZE HAPA TANZANIA HAKUNA MKOA AMBAO NI DUNI KIMAENDELEO KULIKO MIKOA YOTE ? JE KAMA UNAKUBALI UPO NI UPI HUOHalafu huwezi kuamini huenda wote waliokupinga, Mnyamwezi asiwepo hata mmoja!
Haujaweka hoja za msingi kutetea uzi wako, zaidi ya assumptions zako tu, kwanini usipingwe?
Unadhani watu hawatembei?
Wamasai wamesha elimika kitambo yale mashuka yasikutishe ni utamaduni tu usiwafananishe na wa hadzabeWapo wamasai wanaishi ancient life , wakiuza ng'ombe zao wana uwezo wa kununua vigari 3000 kama hicho cha kwako unachopiga nacho Road trip huko tabora na chenji ikabaki
Haelewi/hajui wala kufahamu anachokipinga.Utawekezaje kwenye Mkoa maskini Ili upate nini Sasa?
Pili tumekubaliana hakuna fursa iweje wao wazione?
Hhhhh nitazingatia caution yakoKumbe utaja tapeliwa kirahisi sana.Nakuombea kheri.
Wahadazbe ni matapeli hapo mangola ikifika jioni wanazamia bar wanakula bia na nyama choma na wamepiga pamba kawaida tuAkiona wanavyokula utumbo wa ngedere anahitimisha kiwango chao.
Kwangu mimi HAKUNA.NAOMBA NIKUULIZE HAPA TANZANIA HAKUNA MKOA AMBAO NI DUNI KIMAENDELEO KULIKO MIKOA YOTE ? JE KAMA UNAKUBALI UPO NI UPI HUO
Ndio maana nikakuambia wapo wamasai wanaishi ancient life , hawana hata hiyo elimu unayodaiWamasai wamesha elimika kitambo yale mashuka yasikutishe ni utamaduni tu usiwafananishe na wa hadzabe
Sio kweli Chaba ataanzaje kumtapeli mtu mwenye akili timamu labda amtapeli tahiraWahadazbe ni matapeli hapo mangola ikifika jioni wanazamia bar wanakula bia na nyama choma na wamepiga pamba kawaida tu
KWA MTAZAMO HUO , U HAVE A LONG WAY TO GOKwangu mimi HAKUNA.
Jidanganye na content za kwenye social mediaSio kweli Chaba ataanzaje kumtapeli mtu mwenye akili timamu labda amtapeli tahira
Wachache sanaNdio maana nikakuambia wapo wamasai wanaishi ancient life , hawana hata hiyo elimu unayodai