Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Swali zuri , huwa naenda na kurudi naishi mwezi mmoja au wiki kadhaa
Umejiridhisha kwamba uzoefu wako wa hapa na pale unaweza kuwa sawa na mtu aliyezaliwa geti la Milambo sekondari kwa binti Athumani na kuishi miaka zaidi ya "salasini na tano" wilaya tofautitofauti za Tabora tangu manispaa pakiitwa Town Council?
 
Hatuwezi kufanana yy ni mzawa anajua mengi ila linapokuja kuhusu suala la kiucchumi ni jambo lisilofichika , kuna msemo unassema pesa haijifichi aliyenayo utamtambua tu
 
Je,una habari kila iitwayo leo,misemo ya wahenga inakuwa batili kwa viwango vya juu sana?
 
Back
Top Bottom