min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Dah yale mafuta yalivyo, ladha yake na ile rangi yake nilishindwa kabisa kuyatumiaKwa kukushauri usijipake mafuta ya mawese kama baby jelly? Haina noma!
Dah yale mafuta yalivyo, ladha yake na ile rangi yake nilishindwa kabisa kuyatumiaKwa kukushauri usijipake mafuta ya mawese kama baby jelly? Haina noma!
Umekosa kitu kizuri.Yakiungwa kwenye dagaa au maharage utafurahi.Muha alikuta maharage yameungwa vema alifurahi hadi akasema "Bhiharage bhirasindye nyama"/maharage matamu hadi yameizidi nyama.Dah yale mafuta yalivyo, ladha yake na ile rangi yake nilishindwa kabisa kuyatumia
Mhm sikuyaweza kabisaUmekosa kitu kizuri.Yakiungwa kwenye dagaa au maharage utafurahi.Muha alikuta maharage yameungwa vema alifurahi hadi akasema "Bhiharage bhirasindye nyama"/maharage matamu hadi yameizidi nyama.
Tabora imetajirisha watu wengi sana ambao mimi ni ndg na jamaa zangu. Hapa kazini kuna jamaa aliona post zangu nikiwa mpanda ndo akaniambia yeye Amelima tabora anasema gunia 500 hakosi sasa huyu jamaa ni mwenzetu? Mtaji anao hana? Hawezi kwenda China kufuata bidhaa?Ni kama kidevu tu hupata adhabu ya kucha kwa usahaulifu wa mkunaji.
Na hapo uwezekano ni 99.999% kwa sababu hiyo ni kiwango Cha chini ilitakiwa avune walau gunia 600Kuna jamaa Amelia heka 30 za mahindi alikuwa ananiambia atavuna si gunia 500. Any way watu wa siku hizi mnajikuna hata pasipo washa.
Kwa Tz ni mikoa michache sana ambayo kwa kijana ni ngumu kutoboa lakini ukiitaja Tabora asee sisi ambao tunaijua tunabaki tunashangaa tu kuwa huyu mtu kawashwaje hivi?Na hapo uwezekano ni 99.999% kwa sababu hiyo ni kiwango Cha chini ilitakiwa avune walau gunia 600
Rufiji 😂😂. Kuna mikoa ata huwezi ku imagine how it look like ata kuisikia ikiongelewa ni nadra sanaZanzibar, kilwa, rufiji, tabora....afu kweli asee😂😂😁😁
Eeh nilisahau na Kondoa mweeh!😂😂😁😁
Hhhhhh hii kaliYaani ikizuiwa tumbaku naamini ndani ya wiki 2 au 3 tabora hukuti mtu🤣🤣🤣
Lete takwimu mkuu...Ila tukubaliane kwa hapa Bongo Tabora ndio mkoa mgumu kutoboa kimaisha , ndio mkoa unaoongoza kwa umaskini
Tabora tunapokea waha wanaokuja na pumbu tu, baada ya mwaka wanarudi kigoma matajiri na hawalimi tumbaku...Yaani ikizuiwa tumbaku naamini ndani ya wiki 2 au 3 tabora hukuti mtu🤣🤣🤣
Kigoma na Tabora ni mbingu na ardhi hamuwafikii hata kidogoTabora tunapokea waha wanaokuja na pumbu tu, baada ya mwaka wanarudi kigoma matajiri na hawalimi tumbaku...
Tabora fursa kubwa ni biashara ya mazao kaka...
Ukiwa na mtaji wa kununua mazao na kuweka store hadi mwezi wa 11, umetajirika...
Nenda kaliua pale, nunua karanga, mpunga na mahindi weka store, rudi kinondoni kanywe bia hadi mwezi wa 11, leta ushuhuda hapa...
Tabora hamuwafikii watu wa kigoma hata punje wamewaacha mbali sana kila eneoLete takwimu mkuu...
Au nikuamini tu!
Sikatai Tabora kuna umasikini...
ila tusemwe na watu wa Mbeya, Mwanza, Arusha sio nyinyi wa kigoma kaka...
Weka takwimuKigoma na Tabora ni mbingu na ardhi hamuwafikii hata kidogo
Tabora hamuwafikii watu wa kigoma hata punje wamewaacha mbali sana kila eneo
Tabora hamuwafikii watu wa kigoma hata punje wamewaacha mbali sana kila eneo
Wapi kigoma...Tabora hamuwafikii watu wa kigoma hata punje wamewaacha mbali sana kila eneo