Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Ofcoz Yes Tabora ina fursa chache sana , wenwenyewe si unaona unataja tumbaku tu hakuna kingine
Tabora kuna tumbaku,kuna pamba,kuna mpunga,kuna karanga,kuna asali,kuna mihogo,kuna mbao hata fursa za utalii ni nyingi tu,mfano kuna barabara ya watumwa kutoka tabora hadi itigi,kuna kaze hill ambapo kuna pango la nyungu ya mawe,makao na mtemi fundikira,na kuna nyumba ya watumwa.Kuna historia ya tabora boys na tabora girls.Kuna historia ya mcheza mpira no 10 bora kabisa Tanzania,Abdallah Nyanya ambae alienda Simba na kumuweka bench abdallah kibaden,hadi alipofanyiwa mazingaombwe na kuehuka.Tabora kuna vitu vingi tu
 
Hapo kwenye mpunga unatupanga niambie unalimwa wilaya ipi
 
Nafuu Mtwara Lindi na Singida , Tabora is worse
Nimefika pote huko na mikoa mingine mingi tu,
Kiujumla ni kwamba ukitoka Dar huko we jiweke lokal tu utaenjoy life unamaliza kilichokupeleka unageuka simpre.
Ifakara, mahenge, turiani , kilosa, mtera, chunya, makambako, igunga, maisha yao ni hayo tu kawaida.
 
Nzega, Urambo, Kaliua, kote huko mpunga unalimwa...

Tabora ni kimbilio la nyinyi waha...

Tunawaajiri kwenye mashamba ya tumbaku...

Umepita Igunga na nzega barabarani ukaona Tabora yote iko hivyo sio?
Ila tukubaliane kwa hapa Bongo Tabora ndio mkoa mgumu kutoboa kimaisha , ndio mkoa unaoongoza kwa umaskini
 
Hapo kwenye mpunga unatupanga niambie unalimwa wilaya ipi
Mpunga unalimwa nzega,manonga,nata na bondevla mwanzugi,angalia mashine za kukobia mpunga zilivyojipanga kuanzia,nata,tinde madkati ya fisi,ingia ndani bukene,mambali na hata sehemu za igunga kuja mwisi.Hakuna nachokupanga hapa huo mkoa nimeutembea wote najua kila kitu kuhusu mkoa huo.Sasa njoo ubishe kingine nikufunulie data
 
Alipata kutamka mwanazuoni mmoja kutoka katika nchi ya ugigikoko ya kuwa "MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMAZA " by Intelligent businessman

Lakini Associate Proffessor kutoka chuo cha wanazuoni mtambuka hapo hapo nchini ugigikoko bwana chai ya rangi yeye akapata kusema usilolijua sawa na usiku wa kiza
ma professor tunakimbilia vijijini kwenda kuzalisha utajiri usio na kifani ila vijana wanakimbilia mijini kwenda kufanya kazi punda
 
kama umembea mikoa yote ya hapa bongo Tabora na Manayara ndio inaongoza kwa umaskini . Ndio maana sehemu kubwa ya ardhi ni mapoli sehemu ya makazi ni ndogo
 
Alipata kutamka mwanazuoni mmoja kutoka katika nchi ya ugigikoko ya kuwa "MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMAZA " by Intelligent businessman

Lakini Associate Proffessor kutoka chuo cha wanazuoni mtambuka hapo hapo nchini ugigikoko bwana chai ya rangi yeye akapata kusema usilolijua sawa na usiku wa kiza
Kwanini unyamaze kama una la kusema kunyamaza sio sifa , na kuzungumza kama hauongei la maana ni upumbavu . Kwahiyo huyo mwanazuoni wako kachemka
 
ma professor tunakimbilia vijijini kwenda kuzalisha utajiri usio na kifani ila vijana wanakimbilia mijini kwenda kufanya kazi punda
Ishu ni kukimbilia sehemu sahihi na sio Tabora , nenda Mbeya , Mwanza , Morogoro utafanya maendeleo
 
Kwanini unyamaze kama una la kusema kunyamaza sio sifa , na kuzungumza kama hauongei la maana ni upumbavu . Kwahiyo huyo mwanazuoni wako kachemka
Kaka mkubwa kumuelewa mtu ambaye ni professor inahitaji akili nyingi sana sasa itakuwa hawa wanazuoni ndiyo tabu tupu .

Anyway naomba nielewe tu sitaki waje hapa maana leo ni jumatatno na ndiyo siku uwa wanatumia kingereza kama lugha ya mawasiliano sijioni wala kukuona tukiweza kubishana nao maana ni hatari sana aisee
 
Back
Top Bottom