fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Soma takwimu utaonaWeeee usichimame wala uchikae wako vzr wana uchumi wa bahari
Soma takwimu utaonaWeeee usichimame wala uchikae wako vzr wana uchumi wa bahari
Nipe sababu za msingi za wewe kusema hivi.Kwa hapa TZ Tabora is worse than all regions
Sawa ngoja nifanye tafitiSoma takwimu utaona
Haufai kuishi mtu anaye jitafuta kivipi ? Tabora kuna kilimo cha tambaku , mihogo karanga .Naomba nieleweke naizungumzia Tabora kwamba ipo nyuma kimaendeleo kuliko mikoa yote ya Tanzania na watu wake ni maskini sina maana kwamba hakuna fursa au waliofanikiwa . Pse understand my point
Nimezunguka TZ kote Tabora palinitishaNipe sababu za msingi za wewe kusema hivi.
Inaonekana wanyamwezi ni wengi humu JF naona napata upinzani mkubwa licha ya kutoa FactsHaufai kuishi mtu anaye jitafuta kivipi ? Tabora kuna kilimo cha tambaku , mihogo karanga .
Igunga , nzega, urambo kuna mabonde ya kilimo cha mpunga kibao , pia alizeti inalimwa kwa wingi tu , kwanini pawe hapafai kwa mtu kutafuta maisha hapo?
Mpunga unalimwa lakini siyo kwa ukubwa unao ufikiria, katembelee maeneo yenye lowlands utakutana nao.Hapo kwenye mpunga unatupanga niambie unalimwa wilaya ipi
Hawalimi kama zao la biashara hawana jeuri hiyo kutokana ardhi haina sifa ya hiko kilimoMpunga unalimwa lakini siyo kwa ukubwa unao ufikiria, katembelee maeneo yenye lowlands utakutana nao.
Twende taratibu tu , tutafika kwenye takwimu tu wala usijali, wanyamwezi ni wengi humu JF naona napata upinzani mkubwa licha ya kutoa Facts
Wewe ni mpitaji, nina amini mikoa yote uliyo pita haujaifanyia analysis ya kutosha, zaidi ya kuangalia the way mkoa tu unavyo onekana then unahitimisha kwa kusema hivi mara vile.Nimezunguka TZ kote Tabora palinitisha
Ungeiweka hivi hoja yako mwanzo ungekuwa umeeleweka.Hawalimi kama zao la biashara hawana jeuri hiyo kutokana ardhi haina sifa ya hiko kilimo
We Tabora umeishi ? Wilaya ipi na je bado upo huko ? Kama ulitoka nini kilichokutoa kama sio kutafuta fursa sehemu sahihiWewe ni mpitaji, nina amini mikoa yote uliyo pita haujaifanyia analysis ya kutosha, zaidi ya kuangalia the way mkoa tu unavyo onekana then unahitimisha kwa kusema hivi mara vile.
HhhhTwende taratibu tu , tutafika kwenye takwimu tu wala usijali
Taja mikoa mitano inayoongoza kwa kilimo cha ufutaHhhh
Hakuna Mkoa unaofaa Wala bao haifai ni vile huna akili Wala jicho la kuchungulia fursa.Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda.
Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
Yaani mkoa zao kuu inalotoa ni cancer ya mapafu kwanini wakazi wa huko wasilaanike?Ofcoz Yes Tabora ina fursa chache sana , wenwenyewe si unaona unataja tumbaku tu hakuna kingine
Jicho la kuchungulia fursa , hapa umeongea jambo kubwa sana mwaisa👏Hakuna Mkoa unaofaa Wala bao haifai ni vile huna akili Wala jicho la kuchungulia fursa.
Thats bullshit umeongea utoporo mafanikio yanakuja kwakuwa sehemu sahihi kaa na uwaridi unukieHakuna Mkoa unaofaa Wala bao haifai ni vile huna akili Wala jicho la kuchungulia fursa.
Hakuna facts ulizotoa Mkuu, unacho kifanya ni kutaka kuwalisha watu assumptions zako tu zilizo kinyume kabisa na uhalisia wa eneo husika.Inaonekana wanyamwezi ni wengi humu JF naona napata upinzani mkubwa licha ya kutoa Facts
Unamjaza tuJicho la kuchungulia fursa , hapa umeongea jambo kubwa sana mwaisa👏