ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mindset ya Mtanzania sio Utajiri so Mkoa usilaumiwe.Majority wako hoi kiuchumi ni wachache wanamafanikio
By the wanye akili za kutafuta Mali au wenye Mali Huwa ni wachache siku zote
Mindset ya Mtanzania sio Utajiri so Mkoa usilaumiwe.Majority wako hoi kiuchumi ni wachache wanamafanikio
Nenda Dar basi tuone kama utakuwa na mafanikio kama wenzako waliojazana huko hawana hata pa kulalaThats bullshit umeongea utoporo mafanikio yanakuja kwakuwa sehemu sahihi kaa na uwaridi unukie
Nipo Dar naishi ktk malengo niliyojiwekeaNenda Dar basi tuone kama utakuwa na mafanikio
Hapana , kwa tabora nafikiri umechemka vibaya sana kubali kurusha taulo tu , kushindwa sio vibayaUnamjaza tu
Kwani umeona wa Tabora anaishi kwenye malengo ya nani kama sio yake?Nipo Dar naishi ktk malengo niliyojiwekea
Wewe kabla ya kuwa dar ni mwenyeji wa wapi?Nipo Dar naishi ktk malengo niliyojiwekea
Nimefanya vlog ya mkoa wa kigoma ipo YouTube , hivi karibuni nita i post na ya Tabora utalinganishaHapana , kwa tabora nafikiri umechemka vibaya sana kubali kurusha taulo tu , kushindwa sio vibaya
Mimi nione tena 😅 unachekesha sna , yani nione tabora na kigoma youtube😅Nimefanya vlog ya mkoa wa kigoma ipo YouTube , hivi karibuni nita i post na ya Tabora utalinganisha
My brz sina chuki na Tabora lakini ukweli ni kwamba ili Tabora iinuke kiuchumi ni kuufanya uwe mkoa wa viwanda nje ya hapo ni ngumu kutoboaKwani umeona wa Tabora anaishi kwenye malengo ya nani kama sio yake?
Dar inaongoza Kwa idadi ya mafukara Tzn.
Ana upako huyo.Muamini tu.Yaani wewe kwa kupita Tu ukaona hakujachangamka ukaja na hiyo conclusion?
Kwa hiyo Tabora hakuna watu waliotoboa?My brz sina chuki na Tabora lakini ukweli ni kwamba ili Tabora iinuke kiuchumi ni kuufanya uwe mkoa wa viwanda nje ya hapo ni ngumu kutoboa
Nimeshangaa sana.Ungemueleza kwamba muda huu upo Migwenhe unachekicheki mandhari.Mimi nione tena 😅 unachekesha sna , yani nione tabora na kigoma youtube😅
Kijana kapita na subaru yake , barabarani tu akaona Tabora hakuna kituNimeshangaa sana.Ungemueleza kwamba muda huu upo Migwenhe unachekicheki mandhari.
Bahati mbaya wanyamwezi mmejaa sina mtetezi nimekubali kushindwaKwa hiyo Tabora hakuna watu waliotoboa?
Au wewe kutoboa unamaanisha nini?
Mwisho Pwani inaongoza Kwa Viwanda Tzn ila ndio maskini zaidi ya Tabora.
Unatakiwa uende Kwihala kwa mtemi wao uwaombe msamaha kwa niaba kisha ulipishwe ngwekwe.Nawaomba samahani wanyamwezi wa jamii forum kwa kuwapiga za uso
HahahaaaaaUnatakiwa uende Kwihala kwa mtemi wao uwaombe msamaha kwa niaba kisha ulipishwe ngwekwe.
Angepita miaka ya "samanini" kwa treni sijui angesema kipi?Anasema Tabora ya leo hii?Kijana kapita na subaru yake , barabarani tu akaona Tabora hakuna kitu
Tumbaku , alizeti na ufuta Tabora haikosi kuwepo tano bora kwa Tanzania nzimaBahati mbaya wanyamwezi mmejaa sina mtetezi nimekubali kushindwa
Yaishe nime surrenderAngepita miaka ya "samanini" kwa treni sijui angesema kipi?Anasema Tabora ya leo hii?