Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Kaka mkubwa kumuelewa mtu ambaye ni professor inahitaji akili nyingi sana sasa itakuwa hawa wanazuoni ndiyo tabu tupu .

Anyway naomba nielewe tu sitaki waje hapa maana leo ni jumatatno na ndiyo siku uwa wanatumia kingereza kama lugha ya mawasiliano sijioni wala kukuona tukiweza kubishana nao maana ni hatari sana aisee
fumbo zuri sana , nimekukubali maana una utulivu kwenye kujibu hoja
 
kama umembea mikoa yote ya hapa bongo Tabora na Manayara ndio inaongoza kwa umaskini . Ndio maana sehemu kubwa ya ardhi ni mapoli sehemu ya makazi ni ndogo
Tabora siwezi kuiongelea sana kwasababu siijui vizuri, ila Manyara kuna utajiri wa kutosha. Billionea Mulokozi aameenda kuwekeza na kuishi huko. kwenye kilimo, Mbaazi na Alizeti zinaota na kustawi kama hazina akili nzuri yaani zinamea haswa na haya mazao huwa yana Bei haswa. Mbaazi: bei kubwa. Alizeti: Bei ya uhakika. Manyara kuna Tanzanite kwa wachimbaji.

kumbuka hili: Duniani Tanzanite inapatikana Tanzania pekee ambapo ni Mererani, Manyara

Kuna mikoa ambayo mnaidogosha kwa akili na mitazamo binafsi
 
nimekuelewa tunaposema mkoa maskini au upo nyuma kimaendeleo haina maana hakuna waliofanikiwa ila point tunaangalia majority wapo kwenye hali gani za kimaisha
 
Unaihamisha mada kutoka local analysis kwenda continental migration dynamics.

Huoni kama ni vitu viwili tofauti kabisa?
Point ni kwamba kwenye Mwanga wa taa ndipo kumbikumbi wanapokusanyika , kwenye fursa ndipo watu walipo
 
nimekuelewa tunaposema mkoa maskini au upo nyuma kimaendeleo haina maana hakuna waliofanikiwa ila point tunaangalia majority wapo kwenye hali gani za kimaisha
Mkoa wa tabora unazo fursa kibao , na watu wametoka kimaisha wakiwa hapo, ila wewe kwa vipaumbele vyako umeona hakuna fursa zinazo kufaa wewe , na sio kwamba tabora hakuna fursa .
 
Naomba nieleweke naizungumzia Tabora kwamba ipo nyuma kimaendeleo kuliko mikoa yote ya Tanzania na watu wake ni maskini sina maana kwamba hakuna fursa au waliofanikiwa . Pse understand my point
 
Back
Top Bottom