Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda.

Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
Yaani wewe kwa kupita Tu ukaona hakujachangamka ukaja na hiyo conclusion?
 
Ofcz yec , sehemu yenye neema huwa haijifichi ukitembea tu utaona maendeleo yaliyopo ,shughuli za kilimo , ufugaji biashara Tabora kumepoa sana
Mi nilikaa Arusha wiki nikawa naona chenga tu lakini naamini kuna neema kwakua watu wengi wanasema hivyo. Wewe kwanini unapingana na wenye shughuli zao huko?
 
Mi nilikaa Arusha wiki nikawa naona chenga tu lakini naamini kuna neema kwakua watu wengi wanasema hivyo. Wewe kwanini unapingana na wenye shughuli zao huko?
Bongo nimechafua mikoa mingi kwahiyo nikiitizama Tabora kulinganisha na mikoa mingine naiona imepoa sana
 
Back
Top Bottom