1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Mkuu swali lako unatania au upo serious?Kwa nini tugawe mikoa Kila mara na tusigawe nchi !??
Am so damn serious ...Mkuu swali lako unatania au upo serious?
Nzega kuna machimbo ya madini, Igunga, uyui, urambo kuna kilimo cha pamba na Tumbaku, kama hivi vikiwekezwa kwa uhakika kuna kitu kitafanyikaKuna uchumi gani mkubwa huo mkoa ambao utaleta faida kwa mkoa kugawanywa
🤮🤮🤮Am so damn serious ...
Mkuu mapori unamaanisha nn?Mgawe hayo mapori!
Sehemu kubwa ni pori pori tuMkuu mapori unamaanisha nn?
Sawa mkuuUngeweka km2 maana kwa asiyeifahamu Tabora hiyo ramani haina ukubwa wowote!
Hiyo ndio sehemu kubwa inafaa kwa uwekezajiSehemu kubwa ni pori pori tu
Maana yake ni Chai ya RangiMkuu mapori unamaanisha nn?
Mawazo yako mazuri mkuu, lakini bado haujatazama mfumo wa utawala wa nchi yetu, unaweza kufanikiwa kama ukibadilisha mfumo mzima wa utawalaUpeo wetu wa kufikiri ni wa ajabu kubwa,watanzania wanahitaji service delivery sio wingi wa mikoa au wilaya,elewa hili linasababisha kuwa serikali kubwa mno na gharama za kuiendesha zinakuwa kubwa,nikiwa Rais for one day ,nitahakikisha kufikia saa 4pm nchi nzima tumebakiwa na mikoa sita tu,na maamuzi yote makuu yatakuwa chini ya serikali hizi za majimbo,serikali kuu itaangalia maswala ya Fedha,ulinzi na usalama,home affairs tu,mambo mengine yataishia huko huko kwenye serikali za majimbo,kuanzia leseni za biashara,magari,udereva,majengo,etc etc .
Wazo zuri mkuuKwa maana ya Jiografia, mikoa ya Tabora, Morogoro, Ruvuma na Lindi inastahili kugawanywa. Lakini tunaweza kufanya makosa kama yaliyofanyika kugawa mikoa ya Rukwa na Iringa. Mikoa mipya ya Njombe na Katavi zimeshindwa kuleta tija kiuchumi na kijamii. Na hii ni kwa sababu ya nature ya tawala za mikoa Tanzania. Utawala wa Tanzania tunahitaji kuwa na Halmshauri siyo mikoa wala wilaya.