Mkoa wa Tabora kugawanywa na kuwa mikoa miwili

Ni kweli mkuu!
 
Mi nashauri tuunganishe baadhi ya mikoa Kama dar na pwani. Iringa na njombe.. Arusha na manyara... Ili tuwe na mamikoa makubwa kubwa... Mkuu wa mkoa aheshimiwe sio kugawa mikoa Kama njugu
 
sawa mkuu
 
Mi nashauri tuunganishe baadhi ya mikoa Kama dar na pwani. Iringa na njombe.. Arusha na manyara... Ili tuwe na mamikoa makubwa kubwa... Mkuu wa mkoa aheshimiwe sio kugawa mikoa Kama njugu
sawa mkuu
 
Na misitu ile hata sehemu zilivyofekwa miti humea na kukua kwa haraka sana.

Waboreshe huduma za jamii huko vijijini
 
Ungetaka uone tija gani kwa hiyo mikoa mipya mkuu,,,,,kama vile hauko serious!!!!!
Unafuatilia takwimu za mikoa? Uwekezaji? Pato? Miundo mbinu? Umeme? Maji? Afya?
Mkoa wa Katavi unazidiwa hata na baadhi ya wilaya hapa nchini. Kwani ile mikoa 4 iliyoanzishwa 2012, mkoa wa Geita tu ndio ulikuwa in need kwa sababu ya population.
 
Kweli mkuu, ni mkoa ambao unaweza hata kujiendesha wenyewe kiuchumi, lakini kwanini unasahaulika? Tabora ukilima Tumbaku, Pamba, Alizeti lakini pia kuna madini. Hapa ndio tuangalie shida ipo wapi
Shida ni wana Tabora wenyewe kwanza wamekaa kisltani sana, yaani wameridhika hawataki kujituma umwinyi mwingi sana Tabora, sijui kwa nini viongozi wanaacha kuwachangamsha.
 
Brother Chato ni wilaya yenye population kubwa achana na masimulizi ya humu mitandaoni. Ndio maana mnaambiwa tembeeni mjue, kuna faida ukiwa mzururaji ktk nchi hii
Mkuu, kama ninapafahamu Mbogwe, Bukombe, Runzewe, Nyantakala, Nyampalahala, Nyalwanzaja, Muhama, Ngazi saba, Katoro, Kamena, Bukoli, Ikina na mambo kama hizo.... Sasa jiulize kama Chato ninauwezekano wa kupafahamu...!!??
Na kwataarifa yako, yawezekana nimeitembea Tz kuliko hata wewe.
 
Walifanya vibaya sana kuugawa mkoa wa Rukwa. Bora hata kama wangeugawa mkoa wa Kigoma maana kutoka Kibondo mpaka uione Kigoma mjini kuna shughuli pevu
Unafuatilia takwimu za mikoa? Uwekezaji? Pato? Miundo mbinu? Umeme? Maji? Afya?
Mkoa wa Katavi unazidiwa hata na baadhi ya wilaya hapa nchini. Kwani ile mikoa 4 iliyoanzishwa 2012, mkoa wa Geita tu ndio ulikuwa in need kwa sababu ya population.
 
Juzi nimepita Nyampalahala mpaka nimeshtuka. Kulikuwa na msitu mkubwa sana mpaka unafika Bwanga, lakini cha kushangaza pori na misitu vyote vimetoweka. Kuna uharibifu mkubwa sana wa mazingira umefanyika pale
 
Jibu lililo nyooka ni, wafugaji na wachoma mkaa
 
Tatizo hapa kwetu mikoa inagawanywa kisiasa sana
 
Brother unajua maana ya ukubwa wa idadi ya watu, mfano baada ya Katoro unaingia Chato baada ya chato unaingia Nyakahondwa.
Sasa tambua kuanzia chato kama eneo na hivyo vijiji mpaka huko runzewe hiyo yote ipo ndani ya Wilaya ya Chato boss.
Kuna Chato kijiji na Chato wilaya boss.
Shida mkisikia chato mnajua kijiji mnasahau kuwa kuna wilaya.
Haahaaa
 
Hizo fedha za kujengea ofisi, kuwalipa mishahara wafanyakazi wa mkoa mpya(hapo akiwemo DC ,mkurugenzi ,RAS na mashangingi wapewe na yajazwe mafuta)

Fedha hizo wapelekewe maendeleo wana Tabora.

So kuugawa mkoa naona kama ni gharana zisizo na ulazima.
Hili ni kwa ajili ya kuharakisha maendeleo, je kuna haja ya kuugawa mkoa wa Tabora tukapata Mikoa miwili, Nawasilisha hoja

View attachment 1249710
 
Kwa kukutajia hiyo list, nikitaka utambuwe kwamba chato ninaifahamu nje/ndani please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…