Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mtumishi upo!!!!?
Huu ndo mchuma mpya anaoendesha mwanamuziki Bob junior kwa sasa. Binafsi limenikuna, soo classic , salute sana bro
Bei na aliponunua haijajulikana bado.
warumi kasema siku hizi wadau hawataki line mbili mchina huo, single line ndiyo orijino na ndiyo inayokubalika kwa sasa mwee!! Kwa mantiki hiyo basi, siku hizi ukiwa na mtoto wa kiume ndio wakufungia ndani kuliko wa kike la sivyo utakuta wameshamfumua marinda duuuuh!!Hata baiskeli sina!!
Nani anataka mchina double line siku izi? Kitu single line original, hihihiii
warumi kasema siku hizi wadau hawataki line mbili mchina huo, single line ndiyo orijino na ndiyo inayokubalika kwa sasa mwee!! Kwa mantiki hiyo basi, siku hizi ukiwa na mtoto wa kiume ndio wakufungia ndani kuliko wa kike la sivyo utakuta wameshamfumua marinda duuuuh!!
Kwi kwi kwi.. Kijana Juzi Amenichekesha..Ila warumi umefanya mpaka nikae chini kwa kucheka 😀 😀...Ha ha haa I love u JF..
Nipo mtumishi naangalia vijana wanavyoshindana kuuza sura mjini...
halafu kesho waje waombe hela za michango wakatibiwe India Liol...
uhali gani lakini?
Ndo maana tunawapa makavu live hawa, maana tunawajua vizuri binamu, wapuuzi sana wanakula bata wee, wakipata na kuyapata wanaanza kuomba michango tena wanataka wakatibiwe Apollo India ..
Imbombo jilipoAcha tu binamu....
Sie wenye uhakika wa maisha tunahangaikia uwekezaji na tunatumia cheap cars tu kubana matumizi hao wa kubahatisha maisha ndo kutwa kushindania magari hizo gari kuziendesha si mchezo gharama zake ngoja waje watuombe kama akina gurumo