Mkoko Mpya wa Bob Junior

Mkoko Mpya wa Bob Junior

Aisee mtumishi upo!!!!?

Nipo mtumishi naangalia vijana wanavyoshindana kuuza sura mjini...
halafu kesho waje waombe hela za michango wakatibiwe India Liol...

uhali gani lakini?
 
Hata baiskeli sina!!
warumi kasema siku hizi wadau hawataki line mbili mchina huo, single line ndiyo orijino na ndiyo inayokubalika kwa sasa mwee!! Kwa mantiki hiyo basi, siku hizi ukiwa na mtoto wa kiume ndio wakufungia ndani kuliko wa kike la sivyo utakuta wameshamfumua marinda duuuuh!!
 
Last edited by a moderator:
Nani anataka mchina double line siku izi? Kitu single line original, hihihiii

Kwi kwi kwi.. Kijana Juzi Amenichekesha..Ila warumi umefanya mpaka nikae chini kwa kucheka 😀 😀...Ha ha haa I love u JF..
 
Last edited by a moderator:
warumi kasema siku hizi wadau hawataki line mbili mchina huo, single line ndiyo orijino na ndiyo inayokubalika kwa sasa mwee!! Kwa mantiki hiyo basi, siku hizi ukiwa na mtoto wa kiume ndio wakufungia ndani kuliko wa kike la sivyo utakuta wameshamfumua marinda duuuuh!!

Hata airtel unaweza kutumia tu mbona? Tena safii no network error, vijana tunapenda michepuko badala ya kubaki njia kuu.. Narudia tena binamu AIRTEL YATOSHA TU
 
Last edited by a moderator:
Nipo mtumishi naangalia vijana wanavyoshindana kuuza sura mjini...
halafu kesho waje waombe hela za michango wakatibiwe India Liol...

uhali gani lakini?

Ndo maana tunawapa makavu live hawa, maana tunawajua vizuri binamu, wapuuzi sana wanakula bata wee, wakipata na kuyapata wanaanza kuomba michango tena wanataka wakatibiwe Apollo India ..
 
Acha tu binamu....

Sie wenye uhakika wa maisha tunahangaikia uwekezaji na tunatumia cheap cars tu kubana matumizi hao wa kubahatisha maisha ndo kutwa kushindania magari hizo gari kuziendesha si mchezo gharama zake ngoja waje watuombe kama akina gurumo
 
Imbombo jilipo
 
Nani anataka mchina double line siku izi? Kitu single line original, hihihiii

Kumbe zetu zishakua mchina,mama yangu basi ndio maana sina hata baiskeliii!!!!!!!!!
 
warumi kasema siku hizi wadau hawataki line mbili mchina huo, single line ndiyo orijino na ndiyo inayokubalika kwa sasa mwee!! Kwa mantiki hiyo basi, siku hizi ukiwa na mtoto wa kiume ndio wakufungia ndani kuliko wa kike la sivyo utakuta wameshamfumua marinda duuuuh!!

Hahahaha yaan tunaogopa hata kuzaa wa kiume,bora afumuliwe marinda wa kike kuliko wa kiume hak ya mama
 
Last edited by a moderator:
Kumbe zetu zishakua mchina,mama yangu basi ndio maana sina hata baiskeliii!!!!!!!!!

woote warembo wenzio apa town wanaosukma ndinga za maana we jua tu express yourself inahusika binamu..
 
Back
Top Bottom