Hahahaha..... Nimeipenda hii felow tablet klorokwini
Ukifa ntaweka bandiko: Here lays our hero! RIP our commander Afu kwa msisitizo kwa faida ya watu wa Tandale namalizia kabisa: Wake za watu wanakumiss sana mpambanaji!
Hahahaha..... Nimeipenda hii felow tablet klorokwini
Ukifa ntaweka bandiko: Here lays our hero! RIP our commander Afu kwa msisitizo kwa faida ya watu wa Tandale namalizia kabisa: Wake za watu wanakumiss sana mpambanaji!
Long distance relationships haziwork asee! Lazima wakumegee tu!!hehehe halaf kuna ile waifu yuko yurop hazbendi yuko afrika, halaf jamaa kule afrika eti linajipa moyo kwamba waifu wake ni mtakatifu.
heheeh wapi Nyani Ngabu atuwekeee ule wimbo wa babu jinga.
watu wanafkiri tumepewa zile ndubwana ili tuzibadilishie andawea tu.
tena hii sredi imenipa mzuka wa mke wa mtu kweli, acha nimkonyeze waifu wa jirani hapa out
We Preta
Hakuna kulala mpaka kieleweke. Tutabanana mumo humo. Inzi kufia kwenye kidonda ni ushujaa bana!
mtukomage kabisa.....tukiwaambia tuna watu wetu mnatung'ang'ania.....haya sasa.....
ha ha ha.....we klorokwini na Asprin....dawa yenu ndo naiotesha....
Dume zima utakufaje kwa malaria wakati kuna vyandarua na ngao?Kwanza mwanaume kufa kwa malaria hainogi. si umeona fellow tablet?
Long distance relationships haziwork asee! Lazima wakumegee tu!!
Kloro unajua kabisa mimi mke wa mtu. .yakikukuta ya kukukuta usinilaumu.kwani wewe umeolewa? mimi nakutaka wewe bana, tena ebu do ze nidful, sitanii unajua nina kamuda ka free apo karibuni.
Najua uko single bana usiyayushe
Pole ya nani Lizzy
Ya aliyeuliwa (kwa kufumaniwa)
Au atakayenyongwa (kwa kosa la kuua)
Au la atakayebaki mjane? (Mke wa marehemu)
Au la atakayebaki mkiwa (Mke wa muuaji)
Hapa kako kamoja jamaa wanakamega huku kako kwenye simu kanaongea na hazbendi wake. Yaani wajanja wanamchora tu yule hazbendi, halaf kakikata simu kakiulizwa sasa yule nani? kanajibu ndio b w ege wenyewe yule aliekuolea wewe unile.Long distance relationships haziwork asee! Lazima wakumegee tu!!
We mwache tu. Hivi haoni hata Taifa Stars kabla haijaenda kwenye mashindano inafanya mechi za majaribio?acha woga, hakuna raha kama kugonga mechi za mchangani, makombe ya mbuzi yanaongeza ujuzi.
klorokwini, sijui na mie nijipitishe untongoze?
Hao wenye wenza ulaya wanatumia yelotuth maana hata bluututh imegoma.
Ngoja wazitunze zije zipotee kama mkia wa binadamu.
Hii nimeinyaka kwenye gazeti la 'mwananchi' la leo uk 11:
AUAWA BAADA YA KUFUMANIWA
Joseph Lyimo,Kiteto
mkazi wa kijiji cha Weza wilayani Kiteto mkoani Manyara ameuawa kwa kuchomwa visu mwili mzima baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.....
We mwache tu. Hivi haoni hata Taifa Stars kabla haijaenda kwenye mashindano inafanya mechi za majaribio?
hehehe mimi nafkiri ipo haja ya kujitolea kuwasaidia wale ambao waume zao wako mbali ili kuwatunzia ndoa zao. Tutaingiza hii kwenye maoni ya katiba mpya ya MMU. Tumsubirie Mbu na soulmate wake waje kuweka saini. Manake mmu bila mbu na soulmate wake ni sawa na shuhuli ya pwani bila pilau