mkome wake za watu!

mkome wake za watu!

afu kula akina mama wa nyumbani si kosa
inaitwa 'komunity impowament'

ni kuwawezesha akina mama wa nyumbani kununua vitu kama vitop, karolait, wigi, zazuu, kali n.k

maana waume zenyewe wanajua kutoa hela ya mchicha na chumvi tu.

Asprin, hebu endelea kuniwezesha bana.

Hahahaha..... Nimeipenda hii felow tablet klorokwini

Ukifa ntaweka bandiko: Here lays our hero! RIP our commander Afu kwa msisitizo kwa faida ya watu wa Tandale namalizia kabisa: Wake za watu wanakumiss sana mpambanaji!
 
Last edited by a moderator:
Dah haya tena,huyu shetani mbona atatumaliza,wake za watu wenyewe nao macho juu basi tabu kweli,mie nilishakula mmoja ila ilikuwa bahati yangu niliachia baada ya kula naye uroda kama mara 6 hivi,na sasa hivi nimeokoka hanipati tena.Ila raha yake jamani acheni masihara kuchomoa inahitaji moyo!
 
Hahahaha..... Nimeipenda hii felow tablet klorokwini

Ukifa ntaweka bandiko: Here lays our hero! RIP our commander Afu kwa msisitizo kwa faida ya watu wa Tandale namalizia kabisa: Wake za watu wanakumiss sana mpambanaji!

Kwanza mwanaume kufa kwa malaria hainogi. si umeona fellow tablet?
 
babuee hii ngoma automatik, ikila sumu inatema maziwa yenyewe.

Niliaga huko kwetu, kisiki cha mpingo niogope nini?

Ndahani, you live once.

We mtoto wa kike huna woga kabisa? Utakula visivyoliwa,....lol!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha.....we klorokwini na Asprin....dawa yenu ndo naiotesha....
 
hehehe halaf kuna ile waifu yuko yurop hazbendi yuko afrika, halaf jamaa kule afrika eti linajipa moyo kwamba waifu wake ni mtakatifu.
heheeh wapi Nyani Ngabu atuwekeee ule wimbo wa babu jinga.

watu wanafkiri tumepewa zile ndubwana ili tuzibadilishie andawea tu.

tena hii sredi imenipa mzuka wa mke wa mtu kweli, acha nimkonyeze waifu wa jirani hapa out
Long distance relationships haziwork asee! Lazima wakumegee tu!!
 
klorokwini, sijui na mie nijipitishe untongoze?

Hao wenye wenza ulaya wanatumia yelotuth maana hata bluututh imegoma.

Ngoja wazitunze zije zipotee kama mkia wa binadamu.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza mwanaume kufa kwa malaria hainogi. si umeona fellow tablet?
Dume zima utakufaje kwa malaria wakati kuna vyandarua na ngao?

Ushujaa wa askari ni kufia vitani, na ushujaa wa mwanaume ni kufia kwenye kifua cha mwanamke. Ukifia kwenye kifua cha mke wa mtu inakuwa added advantage.

Stuka fellow tablet...Think!!
 
kwani wewe umeolewa? mimi nakutaka wewe bana, tena ebu do ze nidful, sitanii unajua nina kamuda ka free apo karibuni.

Najua uko single bana usiyayushe
Kloro unajua kabisa mimi mke wa mtu. .yakikukuta ya kukukuta usinilaumu.
 
Pole ya nani Lizzy

Ya aliyeuliwa (kwa kufumaniwa)
Au atakayenyongwa (kwa kosa la kuua)
Au la atakayebaki mjane? (Mke wa marehemu)
Au la atakayebaki mkiwa (Mke wa muuaji)

pamoja na kuwa wewe na rejao ni magamba sugu humu ndani, lakini mnatumia uwezo wenu kufikiri. nawapenda some time.
ingekuwa wewe ndo umefumania ungefanya nini as?
 
Long distance relationships haziwork asee! Lazima wakumegee tu!!
Hapa kako kamoja jamaa wanakamega huku kako kwenye simu kanaongea na hazbendi wake. Yaani wajanja wanamchora tu yule hazbendi, halaf kakikata simu kakiulizwa sasa yule nani? kanajibu ndio b w ege wenyewe yule aliekuolea wewe unile.
hehehe natania tu wakuu, mkipata nafasi ya kuwapeleka wake zenu ulaya msiiachie kabisa
 
acha woga, hakuna raha kama kugonga mechi za mchangani, makombe ya mbuzi yanaongeza ujuzi.
We mwache tu. Hivi haoni hata Taifa Stars kabla haijaenda kwenye mashindano inafanya mechi za majaribio?
 
klorokwini, sijui na mie nijipitishe untongoze?

Hao wenye wenza ulaya wanatumia yelotuth maana hata bluututh imegoma.

Ngoja wazitunze zije zipotee kama mkia wa binadamu.

hehehe mimi nafkiri ipo haja ya kujitolea kuwasaidia wale ambao waume zao wako mbali ili kuwatunzia ndoa zao. Tutaingiza hii kwenye maoni ya katiba mpya ya MMU. Tumsubirie Mbu na soulmate wake waje kuweka saini. Manake mmu bila mbu na soulmate wake ni sawa na shuhuli ya pwani bila pilau
 
Last edited by a moderator:
Hii nimeinyaka kwenye gazeti la 'mwananchi' la leo uk 11:
AUAWA BAADA YA KUFUMANIWA
Joseph Lyimo,Kiteto
mkazi wa kijiji cha Weza wilayani Kiteto mkoani Manyara ameuawa kwa kuchomwa visu mwili mzima baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.....

Mimi nami ntafanya kama huyo siku nikimkamata ole wake maana wako wanaojifanya wajuzi.
 
hawasomi alama za nyakati sijui kwa nini?

Wanashindwa hadi na Mrema, aliona urais haulipi kama ubunge.

We mwache tu. Hivi haoni hata Taifa Stars kabla haijaenda kwenye mashindano inafanya mechi za majaribio?
 
hehehe mimi nafkiri ipo haja ya kujitolea kuwasaidia wale ambao waume zao wako mbali ili kuwatunzia ndoa zao. Tutaingiza hii kwenye maoni ya katiba mpya ya MMU. Tumsubirie Mbu na soulmate wake waje kuweka saini. Manake mmu bila mbu na soulmate wake ni sawa na shuhuli ya pwani bila pilau

Mi nakushauri kwenye pendekezo la kusaidia anzeni na wanaume wenzenu kule segerea wanaogeuzana kwa ukame,
 
Back
Top Bottom