mkome wake za watu!


Bubu, kiziwi, na kipofu, kiwete, Prof,maamuma, hakuna ambaye anaona ni shubiri wote wananyonga.
 
Faida yake nini sioni faida ya kutoa uhai wa mtu sababu ya K..Mke wako kama anafanya sex na mwanaume mwingine ni bora umpige talaka zake arudi kwao kuliko kuchukua uwamuzi wa kutoa mtu roho.

Mtu akifumaniwa na mke wa mtu akiuawa is is okay coz ni mweneza UKIMWI.
Sikia Maandiko Matakatifu yanenavyo:- "mshahara wa dhambi ni mauti".
 
nilisikia watu wakisema wengine wana allergy na na kutumia kifaa kimoja muda mrefu.
 
Namsikitikia aliye ua anakosa mke anaenda kuolewa jela.
 
kweli mke au mume wa mtu ni sumu.
Ila sasa mtu unaweza kuuliwa bila hatia maana watu wengine wameolewa wanasema wako single na pete za ndoa hawavai.
Wee unajijua uko na mali yako tena hadi unapanga kumsuprise kwa pete ya uchumba mara unafumaniwa unaambiwa huyu ni mke wangu au mume wangu.
Wanandoa mkiwa waaminifu haya hayatatokea,ukitongozwa kama wewe ni mke wa mtu wajibu wako ni kukataa tena uwe proud kumwambia anayekutongoza kuwa umeolewa.
 
si walipatana ya nini kumuua mwanaume ka ni kuuwawa wauwawe wote
 
Hii nimeinyaka kwenye gazeti la 'mwananchi' la leo uk 11:AUAWA BAADA YA KUFUMANIWAJoseph Lyimo,Kitetomkazi wa kijiji cha Weza wilayani Kiteto mkoani Manyara ameuawa kwa kuchomwa visu mwili mzima baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.....
@Bishanga wewe si ndio bingwa wa kuchukua wake za watu?.....tena nahisi jf nzima unashika namba moja tehe....ndio ujifunze sasa kuwa wake za watu ni sumu.
 
@Bishanga wewe si ndio bingwa wa kuchukua wake za watu?.....tena nahisi jf nzima unashika namba moja tehe....ndio ujifunze sasa kuwa wake za watu ni sumu.

Huyu jamaa alikuwa amacha,bishanga veteran.
 
rafiki, kuna mjanja kaiba pwd yako ya JF, maana ni ngumu kuamini hayo maneno ya kwenye RED umeyaandika wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…