Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Sekunde hii...na tutaendelea mpaka kesho mchana maana jioni ishafika na kuna kaubaridi kwahiyo hamna anaetoka. Vipi kwani?!mara ya mwisho mmeonana lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sekunde hii...na tutaendelea mpaka kesho mchana maana jioni ishafika na kuna kaubaridi kwahiyo hamna anaetoka. Vipi kwani?!mara ya mwisho mmeonana lini?
Pole ya nani Lizzy
Ya aliyeuliwa (kwa kufumaniwa)
Au atakayenyongwa (kwa kosa la kuua)
Au la atakayebaki mjane? (Mke wa marehemu)
Au la atakayebaki mkiwa (Mke wa muuaji)
mtukomage kabisa.....tukiwaambia tuna watu wetu mnatung'ang'ania.....haya sasa.....
Asprin, sema tu rafiki...................... hutaki kuacha?
Rafiki Fixed Point ushasahau kusoma katikati ya mistari? Sikujua unazeeka mapema namna hii....:crazy:rafiki, kuna mjanja kaiba pwd yako ya JF, maana ni ngumu kuamini hayo maneno ya kwenye RED umeyaandika wewe
Sekunde hii...na tutaendelea mpaka kesho mchana maana jioni ishafika na kuna kaubaridi kwahiyo hamna anaetoka. Vipi kwani?!
I wonder maana kuna mtu kaniambia amemwona jamaa yako na ka changu maeneo ya uwanja wa fisi manzese jana usiku.
Labda kama kuna copy ya mchina mtaani maana yeye kanikumbatia tangu ile jioni mpaka mida hii.
eti hujaona thread yangu?
Wewe hutamani wanaume wa wenzako??mtukomage kabisa.....tukiwaambia tuna watu wetu mnatung'ang'ania.....haya sasa.....
Nimeona ila nasubiria mume wangu aje kukujibu mwenyewe.
Hiyo mbona cha mtoto kiongozi? umeiona hii ya Malawi!
haya bonyeza hapo usome mwenyewe, ujue wizi nouma.
Sex at work: Lilongwe man
yupi huyo?
Du! Inatisha aisee,sijui namimi nimfanzie mbaya wangu?