mkome wake za watu!

mkome wake za watu!

Pole ya nani Lizzy

Ya aliyeuliwa (kwa kufumaniwa)
Au atakayenyongwa (kwa kosa la kuua)
Au la atakayebaki mjane? (Mke wa marehemu)
Au la atakayebaki mkiwa (Mke wa muuaji)

duh!U A THE GREAT THNKR.
 
Last edited by a moderator:
Sekunde hii...na tutaendelea mpaka kesho mchana maana jioni ishafika na kuna kaubaridi kwahiyo hamna anaetoka. Vipi kwani?!

I wonder maana kuna mtu kaniambia amemwona jamaa yako na ka changu maeneo ya uwanja wa fisi manzese jana usiku.
 
bwahahahaa! bado hamja nishawishi, mie nitaendelea kuwatafuna tu. watamu balaa
 
I wonder maana kuna mtu kaniambia amemwona jamaa yako na ka changu maeneo ya uwanja wa fisi manzese jana usiku.

Labda kama kuna copy ya mchina mtaani maana yeye kanikumbatia tangu ile jioni mpaka mida hii.
 
Wivu mbaya jamani. Sasa wote wamemkosa mke na jamaa jingine litarithi mke.
 
Kama hii ya kunasiana hata hapo Tunduma ilitokea hata kwa wakwe zangu hapo Kenya napo ilitokea juzi kati

Du! Inatisha aisee,sijui namimi nimfanzie mbaya wangu?
 
Du! Inatisha aisee,sijui namimi nimfanzie mbaya wangu?

Mbona simple tu unachomeka usinge wakikutana wananasiana mpaka wakufuate mmiliki halali na wewe unatangaza dau ili kuwanasua wakifika dau muafaka basi unachomoa usinge na wao wanaachana kama mbwa wanavyo nasiana.
 
Back
Top Bottom