Wazee wabishi humu tulishauri sana kuwa Pension ya mkupuo walipwe asilimia ndogo kama ishirini tu il Pension ya mwezi walipwe asilimia 80 ya mshahara wakapinga wengine wakataka walipwe yote
Wacha wapigike huko kwenye biashara mtaani na vipension vya mwezi vidogo waliyataka
Wacha wapigike huko kwenye biashara mtaani na vipension vya mwezi vidogo waliyataka