Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

Wazee kabla hawajapata mafao wanakuaga na mipango mizuri sana (sometimes na sisi wengine pia kabla ya kushika hela mipango kabambe imenyoooka kama rula ngoja hela ije mkononi sasa sijui ibilisi anatokeaga wapi)

Shangazi yangu: mipango ilikua anunue mashine ya kusaga tena enzi hizo daaah 😹, baada ya kupata mafao ikawa na kupika wali wa rangi tu leo wa kijani kesho mwekundu hatimae pesa zikaisha salama.

Bi mdashi: kwakua ametusomesha kwa kufuga tukaona ni vema aendelee na kazi yake, plan afuge kitimoto, kuku wa kutosha chakula cha mifugo kijae hapo, aishi bila mawazo kabisa....
Kilichotokea daaaah.....niseme tu nae kwakweli pesa ziliisha salama.
Huyo shangazi itakuwa ni mwanachama wa kile chama mpaka anapika wali wa kijani 😂

Pesa usipokuwa nayo mipango huwa ni mingi sana ila ukishaishika sijui ni nini huingia na kukusahaulisha mipango yako na kuanza kufanya mambo mengine tena mengine hayana hata faida kabisa.

Mzee yeye sijui alifanyia nini akangoja za mkewe miaka michache baadae akazipiga vilevile 😂 (kuna watu wanazeeka na upendo wao) mpaka sasa mama hajawai kusema chochote na navyomjua hasemi, akifanya kitu kwa ajili ya mzee hasemi anakaa kimya na hata mambo yaende vibaya kiasi gani hutosikia akilalamika.

Maji yakishamwagika hayazoleki hamna namna ni kukubali tu uhalisia, mzee ananiacha hoi kwenye jambo moja tu, akikutana na maswali ya wazee wenzake huko bar kuwa hela alipeleka wapi anawajibu aliwapa watoto wake 😂
 
Kuna mzee ticha jirani yetu,,,mwaka juzi Alistaafu akala kama 90m, ,,, ujinga alofanya akawanunulia wanae wa2 bodaboda kwa mashart wasimpe hesabu ila matumizi yote ya nyumban waklie, akanunua kirikuu akampa dereva, hela nyinge akamalizia finishing nyumba yake,,, ! Ni mlevi mno, huu mwaka hata Mia hana,,,, kirikuu amepaki juu ya mawe, vijana walevi pkpk washauza,,,,
 
Haha kuna mwalimu mmoja alikuwa anapenda nafasi fulani ndani ya chama cha CCM ambayo aliona inamarupurupu mazuri zaidi ya kazi yake ya uwalimu,wanaccm wenzake wakamshauri kuwa kama anataka nafasi hiyo anatakiwa astafu kwa hiyari ili aweze kukitumikia chama angali kijana.

Mwalimu aliomba kustaafu kwa hiyari na kwa kuwa maombi ya kustaafu yalikuwa na mkono wa chama twawala majibu yake na mafao yake hayakuchelewa kutoka.

Na kwakuwa nafasi aliyokuwa anahitaji ilikuwa siyo ya kupewa bure ilikuwa ni ya kugombea na alikuwa ameaminishwa kuwa atapitishwa bila kupingwa,uchaguzi ulipofika alishangaa kuwa hakuwa peke yake kama alivyoahidiwa kuwa hatakuwa na mpinzani atapitishwa bila kupingwa.

Hivyo ilibidi atumie Sera ya CCM ya mkono mtupu haulambwi na toa kitu upate kitu,Siku ya siku mwalimu kaangukia pua,mafao yake yamepigwa na wapambe waliomwaminisha kuwa watampitisha bila kupingwa mpaka sasa hivi mwalimu yuko juu ya mawe kama gari iliyokosa mataili na wenye kumpitisha bila kupingwa nao hawaonekani tena.
 
Watu wanamshauri kama wanapenda vile kumbe wanataka kupiga fedha!! Akaingia king
 
Hao wapambe kiswahili wanaitwa wapambe nuksi ha ha ha
 
Biashara inataka uanze ukiwa mdogo, ndio maana baadhi yetu wazazi walianza kutupa hela kuzihesabu tukiwa wadogo ili wakizeeka tushike biashara

Wao pamoja na kuwa na biashara ila walijua siku moja watastaafu na kukaa nyumbani
Na sisi kushika mali
Hawa wazee wafanyakazi wanapostaafu maana walee wajukuu au wafanye kitu wanachoweza kwa nguvu zao au akili na kuwepo hapo
Lakini kuingiza hela kwenye biashara halafu unakurupuka na kumpa mtoto usiemjua, wa kwao wako wapi?
Kama huna bora kula hata 10,000 kwa siku mpaka zinaisha
 
Back
Top Bottom