TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
- #61
Basi hiyo benki itakua na uzembe sana.Mipango ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hiyo benki itakua na uzembe sana.Mipango ndugu
Mtafute kibatala hapo Kuna sio chini ya billion 5 madai usisahau kunipa mrejeshoMwaka 2016 nililipia kifurushi Dstv kupitia tigo pesa ili nione match zote za world cup, guess what.. ile pesa ilikatwa kwenye akaunti lakini haikwenda Dstv.
Niligundua kuwa hazikwenda baada ya kuwasiliana na Dstv na wao kunitaka niwasiliane na tigo. Nilipiga simu sana tena sana tigo customer care, wanakili pesa kweli imekatwa na wanadai kulikua na hitilafu kwenye mifumo yao.
Kufupisha story ile pesa hadi navyoandika hapa sikuwahi kurudishiwa maana baadae ilibidi nilipe kwa mtandao mwingine huku nikiwasiliana nao, hadi kwenye maduka yao nilifika hakuna msaada zaidi ya itarudishwa baada ya saa 72. Naunga mkono hoja watoa huduma wengi wanapuuzia wateja na kuwadharau.
Ngoja hawa wanyooshwe mahakamani.
NB: audio ya mazungumzo kati yangu na wao ninayo.
Wakili msomi janjajanja hiyo list fidia imepigwa hapo mtu mpk vingine unasahauUkishaona kamjamaa kanaitwa "kibatala" somewhere ujue tayari ni kisanga.
Unaongea kirahc mzee. Hujawah kufanya biashara wewe. We taasisi inapoteza hati unachukulia poae. Hiv ikikutwa kwa mtu kashauziwa hiyo nyumba ingekuwaje. Unaonekana bado ni kijana hujakua wewe.Akilipwa hiyo pesa...nimekaa pale..
Alafu nilitaka kushangaa dada kamalizaje deni hilo kirahisi hivyo, kumbe alikopa sehem nyingine....
kiufupi, dada kafirisika
Mkuu hiki Kitabu gani?Hivi Nchi ikitaka kupata mkopo inawekaga HATI gani kama DHAMANA?.Au Sisi manyumbu ndo chombo ya FUNDI, afu dogo Mwichemba anatembelea V8 Kwa mtaji wetu wasio na bima?.View attachment 2535978
Kukopa sehemu nyingine haikuhusu muhimu ni kumaliza deniAkilipwa hiyo pesa...nimekaa pale..
Alafu nilitaka kushangaa dada kamalizaje deni hilo kirahisi hivyo, kumbe alikopa sehem nyingine....
kiufupi, dada kafirisika
Dada kacheza na watu wa Bank kapewa hati kwa mgongo wa nyuma kisha afungue kesi ya upotevu awapige bank....Hii michezo inachezwa na watu wa benki
Bank sio microfinance za kitunda mkuu..Unaongea kirahc mzee. Hujawah kufanya biashara wewe. We taasisi inapoteza hati unachukulia poae. Hiv ikikutwa kwa mtu kashauziwa hiyo nyumba ingekuwaje. Unaonekana bado ni kijana hujakua wewe.
Assume hii kesi itembee 5 yrs kutoka mwaka huu...Kukopa sehemu nyingine haikuhusu muhimu ni kumaliza deni
Tunawekwa bondi sie wanainchii.........ndo maana kuna mambuzi yanataka hadi marinda yawekwe bondiHivi Nchi ikitaka kupata mkopo inawekaga HATI gani kama DHAMANA?.Au Sisi manyumbu ndo chombo ya FUNDI, afu dogo Mwichemba anatembelea V8 Kwa mtaji wetu wasio na bima?.View attachment 2535978
Wengi hawajui, nyaraka kama Hati zilizowekwa dhamana zinatunzwa sehemu salama sana na mostly zinatunzwa strong rooms, sehemu ambayo access yake hata afisa mikopo aliyetoa mkopo hawezi kufika.Kwani benki ni kama nyumbani kwa mtu kwamba document inaweza kuchomolewa kirahisi hivyo bila kuacha trail?
Kwa nini unasema hivyo mkuu? Umewahi kupata usumbufu wa kuzungushwa na taasisi fulani? Kama ni kweli kuwa walipoteza hati yake halafu wakaanza kumzungusha, hadi baada ya kutishiwa kushtakiwa ndo wakamuandikia barua kuwa hati imepotea, sio fair kabisa mkuu. Kupotea kwa hati sio jambo la ajabu sana, ila walitakiwa ku handle vizuri swala zima. Cha kwanza, walitakiwa kumuita na kukaa nae mara tu bada ya kugundua kuwa wamepoteza hati yake, kisha kumwambia hatua ambazo wamechukua na wanaendelea kuzichukua kufanyia kazi suala lake.
Itakua hujawahi kusumbuliwa mkuu, taasisi nyingi za bongo zina tabia ya "kuchukulia poa mambo" au kama kupotezea ishu za aina hii zinazomsumbua mteja. Ndio maana bongo hela yako inaweza kukatwa kimiujiza na benki, na ukifuatilia unaambiwa ni makosa, halafu hiyo hela kurudishwa inaweza chukua hata mwaka unafuatilia tuu, na they get away with that mara nyingi kwa sababu wabongo sis wengi wetu ni "makondoo" (samahani kwa kutumia neno hili). Yaani hatujui haki zetu. Ndio maana mtu akifuatilia haki yake kama hivi anaonekana kama analazimisha mambo.