Mkopaji aishtaki Akiba Commercial Bank (ACB) kwa upotevu wa hati ya nyumba

Mtafute kibatala hapo Kuna sio chini ya billion 5 madai usisahau kunipa mrejesho
 
tatizo kuna wakati benki hata kama umemaliza mkopo na wakajua unataka kuhamia benki nyingine na wao bado wanakuhitaji kama mteja (mkopaji na mlipaji mzuri), huwa na hizi style za kukusumbua kutoirudisha hati yako kwa wakati hata kama umelipia gharama zote za kubadili umiliki haya ufanyika ili usihame benki uendelee kukopa kwao.

note: kumbuka wakati wa kukopa hati lazima ibadilishwe umiliki toka kwa jina la mteja kwenda jina la benki husika.
 
Akilipwa hiyo pesa...nimekaa pale..
Alafu nilitaka kushangaa dada kamalizaje deni hilo kirahisi hivyo, kumbe alikopa sehem nyingine....
kiufupi, dada kafirisika
Unaongea kirahc mzee. Hujawah kufanya biashara wewe. We taasisi inapoteza hati unachukulia poae. Hiv ikikutwa kwa mtu kashauziwa hiyo nyumba ingekuwaje. Unaonekana bado ni kijana hujakua wewe.
 
Yes leo watu wa benki nao waone uchungu wanao upata wakopaji kwenye marejesho pyumbavu zao
 
Unaongea kirahc mzee. Hujawah kufanya biashara wewe. We taasisi inapoteza hati unachukulia poae. Hiv ikikutwa kwa mtu kashauziwa hiyo nyumba ingekuwaje. Unaonekana bado ni kijana hujakua wewe.
Bank sio microfinance za kitunda mkuu..
Hawakurupuki kuuza nyumba tu..
Umeshasema taasisi.. wana intelijensia yao.. anzia hapo tu alafu utajua kwanini nimesema huyo kafirisika
 
Kwani benki ni kama nyumbani kwa mtu kwamba document inaweza kuchomolewa kirahisi hivyo bila kuacha trail?
Wengi hawajui, nyaraka kama Hati zilizowekwa dhamana zinatunzwa sehemu salama sana na mostly zinatunzwa strong rooms, sehemu ambayo access yake hata afisa mikopo aliyetoa mkopo hawezi kufika.
Ili kuipata hati atamuomba boss wake tena kwa maandishi.
Hati kupotea sio jambo rahisi ni chain ya watu zaidi ya mmoja.
 
Deal done!, Meneja masoko aliiona imezubaa sehemu aliichomoa akaenda kuichoma moto, kisha akasuka deal na mwenye hati now deal inaenda kuitika.

Hizi issue za kula kwa urefu wa kamba siyo serikalini tu, ni mkuu wa kaya kasema kamba yako inapoishia nawe ishia kula hapo...
 

Uko sahihi mtu akitaka haki yake anaonekana anataka sehem ya kupigia hela
 
  • halafu Wakili wa hiyo benki nimemuangalia kwenye mfumo wa mawakili, hajahuisha Leseni yake ya uwakili, akijaribu kwenda mahakamani in person atawekewa pingamizi la awali, na pia huyo Wakili wao ni very junior compared to King Kibatala.
  • Cha kufanya hiyo benki watafute mawakili wengine nje ya hiyo bank Kama Kina Nashon Nkungu, Dickson Matata,John Mallya,Kwa kiwango Fulani itawasidia kupangua hoja za Kisheria
-
 
Naina FURSA nyingine ya Ajali ya MWENDO KASI yule Majeruhi aliye gongwa na BUS alipo kuwa anatembea sehemu ya watemwbea kwa MIGUU kampuni ya DART lazima imlipe INSURANCE NDEFU sn .

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…