tutaishi milele
Member
- Dec 26, 2015
- 68
- 46
Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye akaunti zao wasubiri mpaka leo tarehe 21 ila naona siku inaisha hakuna mabadiliko yoyote na hawa wote wamesoma shule za serikali na wote wananitegemea mimi. Aise kwani kuna ambao leo wamepata huo mkopo kiukweli mawazo yanakuwa mengi mno nikiwaza kusomesha madogo watatu hii serikali iwage inatuangalia na sisi ma first born kuna namna ukizaliwa first born bongo basi wewe ni mateso mpaka unakufa