Mkopo awamu ya pili tayari au bado

Mkopo awamu ya pili tayari au bado

Mawazo ya kujipa moyo [emoji16][emoji16], kumbe tupo wengi
wala hata...hata miaka ya nyuma ilikuw hvyo hvyo lbd kama cvyo..kwhy hapo status itabadilika kw mda wowote kwa wachache..then hyo tarh 27 ikawa kw batch 3.
 
wala hata...hata miaka ya nyuma ilikuw hvyo hvyo lbd kama cvyo..kwhy hapo status itabadilika kw mda wowote kwa wachache..then hyo tarh 27 ikawa kw batch 3.
Mkuu una uhakika na maneno yakk maana wengi wameandikiwa hvyo mpaka 27/10
 
Kweli mkuuu saiv naona Kuna watu wanawekewa mda wowot tofaut nawalivyotangaza,,, nikuzidisha maombi na subira
 
Kijana wako lazima Apate mkopo kuwa na Amani mkuu
Ni muhimu kupeana moyo kwa nyakati kama hizi ,mimi ndugu zangu wawili wakike wote hawana Baba Mzazi wameweka mpaka vyeti vya kifo lakini hola mpaka sasa.
 
Ni muhimu kupeana moyo kwa nyakati kama hizi ,mimi ndugu zangu wawili wakike wote hawana Baba Mzazi wameweka mpaka vyeti vya kifo lakini hola mpaka sasa.
Watapata Mkuu tuendelee kuwaombea ili Wafanikishe Jambo lao
 
Juzi nipo Masjid Maamur upanga nimekutana na bosi wa Helsb Badru anatoka masjid nado kidogo nilitaka nimsalimie kisha nimpange kuhusu madogo zangu na matatizo zao nimeambie mkuu anifanyie mchongo ila nilikosa ujasiri tu leo ndio nimeikumbuka ile bahati 😂😆😂
 
Sema pale Helsb Kuna jamaa namjua niliunganishwa na Mbunge wa Tabora ili anipe mkopo wa Ada bahati mbaya nilikutaga bajeti ishafungwa ila mwaka uliofata aliniwekea Ada kitu Kama million 1 hivi huyo Jamaa ni Chief excutive wa helsb

Hii nchi bila connection ngumu Sana hata hizi Ajira za Tamisemi kanambia nimpe vyeti aniingize nilambe Asali so hapa napambania namba ya Nida kuirekebisha maana hipo kimakosa

Kuhusu ao madogo naimani watapata tu
 
Back
Top Bottom