Mkopo awamu ya pili tayari au bado

Mkopo awamu ya pili tayari au bado

Me nadhani hiyo ndio imetoka,wangekua wana nia ya kuwapa watu mikopo wangetoa mapema coz haiwezekani wanajua kabisa vyuo vyote vinafunguliwa tarehe 24 halafu wenyewe mikopo watoe tarehe 27 kweli?
Ndivyo wamesema? Hiyo tar 27?
 
Kwahiyo kwa maana hiyo second batch ni tayari au ndo hiyo wameirusha mpaka tarehe 27!?
Kwa kweli sijui,maana humu jukwaani hakuna ambae amedhibitisha kupewa awamu ya pili mpaka sasa.mostly wameandikiwa tarehe 27
 
Najisikia uchungu kuwa kwenye mabano😂😂
Ngoja tusubiri subiri watu wengine waamke ili tujue kama tayari au wote ni hivyo hivyo
Kinachokera zaidi,wahusika hawatoi hata updates ya nini kinaendelea.
 
kuwa mvumilivu inachosha...lkn hamn namna inabidi uwe hivyo...Hyo tarh 27 inawez kuw ni kwa batch ya tatu...kwahyo muda wowote status inawez kubadilika kweny Account yako...kwahy kuna wengine Status itabak hyo hyo ya Tarh 27, na kuna wengine itabadilika kuw Allocation.
 
Hujaeleweka ulichoandika mkuu
 
kuwa mvumilivu inachosha...lkn hamn namna inabidi uwe hivyo...Hyo tarh 27 inawez kuw ni kwa batch ya tatu...kwahyo muda wowote status inawez kubadilika kweny Account yako...kwahy kuna wengine Status itabak hyo hyo ya Tarh 27, na kuna wengine itabadilika kuw Allocation.
Mkuu, hii ni taarifa rasmi au una guess tu?
 
Batch two tiyari batch three ndo hiyo tareh 27 so Ambao hamjapata ENDELEENI kupiga dua
 
Maisha ya chuo Magumu bila mkopo Hali ngumu inabid watu wote wapewe
 
Me nadhani hiyo ndio imetoka,wangekua wana nia ya kuwapa watu mikopo wangetoa mapema coz haiwezekani wanajua kabisa vyuo vyote vinafunguliwa tarehe 24 halafu wenyewe mikopo watoe tarehe 27 kweli?
Sasa Kwan ukifungua tu chuo unapewa hela ,napo Kuna process atleast 2 weeks apo lazma mzazi ajiandae na fedha zake nyingi ikiwemo nusu ada,fee
 
Mkopo upate Ni baada ya wiki 3 hivyo watu watapewa boom mwezi wa 11 November so hiyo trh 24 Mzazi anabidi amuandalie kijana wake hela ya kutumia
 
Back
Top Bottom