Ndivyo wamesema? Hiyo tar 27?Me nadhani hiyo ndio imetoka,wangekua wana nia ya kuwapa watu mikopo wangetoa mapema coz haiwezekani wanajua kabisa vyuo vyote vinafunguliwa tarehe 24 halafu wenyewe mikopo watoe tarehe 27 kweli?
Ndio nimeona wamemuandikia ndugu yangu hivyo.Ndivyo wamesema? Hiyo tar 27?
Kwahiyo kwa maana hiyo second batch ni tayari au ndo hiyo wameirusha mpaka tarehe 27!?Ndio nimeona wamemuandikia ndugu yangu hivyo.
Mimi mwenyew najiuliza hili swali je kuna watu wamepata hii second batchKwahiyo kwa maana hiyo second batch ni tayari au ndo hiyo wameirusha mpaka tarehe 27!?
Kwa kweli sijui,maana humu jukwaani hakuna ambae amedhibitisha kupewa awamu ya pili mpaka sasa.mostly wameandikiwa tarehe 27Kwahiyo kwa maana hiyo second batch ni tayari au ndo hiyo wameirusha mpaka tarehe 27!?
Mimi mwenyew najiuliza hili swali je kuna watu wamepata hii second batch
Najisikia uchungu kuwa kwenye mabano😂😂Kwa kweli sijui,maana humu jukwaani hakuna ambae amedhibitisha kupewa awamu ya pili mpaka sasa.mostly wameandikiwa tarehe 27
Kinachokera zaidi,wahusika hawatoi hata updates ya nini kinaendelea.Najisikia uchungu kuwa kwenye mabano😂😂
Ngoja tusubiri subiri watu wengine waamke ili tujue kama tayari au wote ni hivyo hivyo
Hujaeleweka ulichoandika mkuukuwa mvumilivu inachosha...lkn hamn namna inabidi uwe hivyo...Hyo tarh 27 inawez kuw ni kwa batch ya tatu...kwahyo muda wowote status inawez kubadilika kweny Account yako...kwahy kuna wengine Status itabak hyo hyo ya Tarh 27, na kuna wengine itabadilika kuw Allocation.
Yan namaanisha hv..hyo Tarh 27 inawez kuw ni kwa batch ya 3,, kwhy kuna ambao status zitabadilika na kupata na kuna ambao status itabak hvyo hvyo ya tarh 27.Hujaeleweka ulichoandika mkuu
Mkuu, hii ni taarifa rasmi au una guess tu?kuwa mvumilivu inachosha...lkn hamn namna inabidi uwe hivyo...Hyo tarh 27 inawez kuw ni kwa batch ya tatu...kwahyo muda wowote status inawez kubadilika kweny Account yako...kwahy kuna wengine Status itabak hyo hyo ya Tarh 27, na kuna wengine itabadilika kuw Allocation.
Hata miaka ya nyuma ilikuw hv...just wait..ndy maana hata wao bodi wanasemaga tembelea SIPA yako.Mkuu, hii ni taarifa rasmi au una guess tu?
Kwaiyo Jana second batch wametoa au Bado ? Then inakuaje wapo very shallow kias hicho?!Hata miaka ya nyuma ilikuw hv...just wait..ndy maana hata wao bodi wanasemaga tembelea SIPA yako.
Sasa Kwan ukifungua tu chuo unapewa hela ,napo Kuna process atleast 2 weeks apo lazma mzazi ajiandae na fedha zake nyingi ikiwemo nusu ada,feeMe nadhani hiyo ndio imetoka,wangekua wana nia ya kuwapa watu mikopo wangetoa mapema coz haiwezekani wanajua kabisa vyuo vyote vinafunguliwa tarehe 24 halafu wenyewe mikopo watoe tarehe 27 kweli?
Mkopo upate Ni baada ya wiki 3 hivyo watu watapewa boom mwezi wa 11 November so hiyo trh 24 Mzazi anabidi amuandalie kijana wake hela ya kutumiaSasa Kwan ukifungua tu chuo unapewa hela ,napo Kuna process atleast 2 weeks apo lazma mzazi ajiandae na fedha zake nyingi ikiwemo nusu ada,fee
Yah na wengin mpk December,mwak wa kwanz ni mgum kujipangaMkopo upate Ni baada ya wiki 3 hivyo watu watapewa boom mwezi wa 11 November so hiyo trh 24 Mzazi anabidi amuandalie kijana wake hela ya kutumia
Wanatupiga kalenda tu😂 na maneno mazuriNajisikia uchungu kuwa kwenye mabano😂😂
Ngoja tusubiri subiri watu wengine waamke ili tujue kama tayari au wote ni hivyo hivyo