cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kwanini ulikubali kuchukua mkopo ulio hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...bank na mikopo ipo kwa ajili ya kumsaidia mtu/kampuni, tatizo hapa bado kuna uholela. Mabank ya kibiashara si sehemu nzuri sana kukopa kama unahitaji kujifanyia maendeleo binafsi. Mabenki ya ushirika (credit unions) na vicoba au ndugu, ni sehemu nzuri kukopa kwa ajili ya kujiendeleza (bila kuhusisha biashara)
Huu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Hata wewe hela ni nyingi sana ndo maana watu wanashindwa kulipaMmhhh mbona km Unaibiw Crdb Mkopo M12.7 makato 259 miaka 7 inarudishwa My 21 ss ww iwe hvyo kapige hesabu vzr
Ungeenda CRDB, Hawa wako vizuri kwenye riba zao, Mimi nilikopa Milioni Kumi na tatu, Wanakata 265,000/=,Kwa miaka saba. Angalau kidogo kuna Ka ahueni, na Mkopo huo unaendelea kuniweka Mjini, maisha yanasonga. Wanangu wana uhakika wa kwenda chooni.Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Ndugu mikopo haikwepeki, sasa km una mradi unaotaka pesa nyingi kwa mkupuo utafanyaje sasa??.Umaskini tunauletaga wenyewe mda ungine.
Yani hapo ni sawasawa una shida umeenda benki alafu wao wanakuambia uwape 8M bure bure.
Hapo ni sawa umewapa benki 8M bure tu bila ya wao kufanya kazi yeyote ile
Wewe ndo umejichanganya, Hiyo 1,500,000/=,izidishe sasa Mara miezi Kumi na mbili. Jibu utakalolipata ni 18,000,000/=.Huu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Raynavero unamuona huyu mwingine? Kawaida ya mkopo on average unalipa 10% zaidi ya principal kwa kila mwaka mmoja. Hakuna mtu alishaendelea bila kukopa! Mkopo ndiyo njia ya kutajirika. Tatizo tunapenda vya bure ndo maana hatuendelei. Kwa upande wangu nikimuona mtu anakopa nampongeza sana na kumsifu kuwa anataka kuupiga kisogo umaskini. Ila asiwe anakopa kwa ajili ya kununua kMkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Soma vizur mkuu,12 x 6=72.Huu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
www.mkurupuko.co.tzHuu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Ni swala la muda tu litapita bwana mkubwa, maadam hyo hela ya marejesho iwepo.Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.