Mkopo NMB: Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Mkopo NMB: Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Status
Not open for further replies.
...bank na mikopo ipo kwa ajili ya kumsaidia mtu/kampuni, tatizo hapa bado kuna uholela. Mabank ya kibiashara si sehemu nzuri sana kukopa kama unahitaji kujifanyia maendeleo binafsi. Mabenki ya ushirika (credit unions) na vicoba au ndugu, ni sehemu nzuri kukopa kwa ajili ya kujiendeleza (bila kuhusisha biashara)

Wengi hawaujui ukweli huu,na ndio maana kama upo na SACCOS iliyo strong kifedha karibu nawe,ingia huko mzima mzima kwani riba zao ni nafuu sana na wanachama wanajipangia wenyewe kwa kuwa zile fedha za mitaji ni zao,mfano kuna SACCOS riba yao kwa mwakani 13.5% halafu hawana makato ya kipuuzi kama ya mabenk
 
Hivi hizi Islamic bank inakuaje ambapo hakuna riba?
 
Ulikopa UKICHEKA lipa UKILIA.


KULALAMIKA HAKUKUSAIDII KULIPA MKOPO WAKO
 
Km huo mkopo ni kwa ajili ya biashara sio mbaya endapo biashara itaenda vzr, ila km umechukua kwa kutatua matatizo yako binafsi pole sana
 
Riba za Bank ni kubwa sana hapo sioni tofauti na zile hela wanaita za moto za mtaani unakopa 8m unalipa 18m maendeleo hapo yana nafasi ndogo sana...
 
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Umaskini hauishi kamwe.
Ungeenda CRDB, Hawa wako vizuri kwenye riba zao, Mimi nilikopa Milioni Kumi na tatu, Wanakata 265,000/=,Kwa miaka saba. Angalau kidogo kuna Ka ahueni, na Mkopo huo unaendelea kuniweka Mjini, maisha yanasonga. Wanangu wana uhakika wa kwenda chooni.
 
Umaskini tunauletaga wenyewe mda ungine.

Yani hapo ni sawasawa una shida umeenda benki alafu wao wanakuambia uwape 8M bure bure.

Hapo ni sawa umewapa benki 8M bure tu bila ya wao kufanya kazi yeyote ile
Ndugu mikopo haikwepeki, sasa km una mradi unaotaka pesa nyingi kwa mkupuo utafanyaje sasa??.
 
Huu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Wewe ndo umejichanganya, Hiyo 1,500,000/=,izidishe sasa Mara miezi Kumi na mbili. Jibu utakalolipata ni 18,000,000/=.
 
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Umaskini hauishi kamwe.
Raynavero unamuona huyu mwingine? Kawaida ya mkopo on average unalipa 10% zaidi ya principal kwa kila mwaka mmoja. Hakuna mtu alishaendelea bila kukopa! Mkopo ndiyo njia ya kutajirika. Tatizo tunapenda vya bure ndo maana hatuendelei. Kwa upande wangu nikimuona mtu anakopa nampongeza sana na kumsifu kuwa anataka kuupiga kisogo umaskini. Ila asiwe anakopa kwa ajili ya kununua k
 
nilikopa crdb mill 15 natakiwa kurejesha 24M (riba 9M) for 6yrs. inaonekana ina uafadhari kuliko yako japo kila mwez napigwa 335,000
 
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Umaskini hauishi kamwe.

The main assumption ni kwamba hiyo 9m itazaa hata mara nne ikiwa mikononi mwako. Halafu watakuwa wameangalia na devaluation ya shilingi/ inflation. Wapo sahihi kabisa ndugu, hapo unatakiwa kufanyia jambo la maana ambalo bila hiyo 9m ilikuwa balaa.
 
Muda wa marejesho unapokuwa mrefu na riba inakuwa kubwa, miye nilichukua mkopo wa mil 5.8 marejesho ni mil 7.956 kwa makato ya 221 kwa muda wa miaka 3,
Mkopo wa muda mfupi unauafadhari ktk riba
 
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Umaskini hauishi kamwe.
Ni swala la muda tu litapita bwana mkubwa, maadam hyo hela ya marejesho iwepo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom