kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani (NATO) kama ikitokea vita kuu ya 3 (WWIII). Wametuchagulia upande kwenye vita baridi na moto kati ya Urusi vs NATO kwa kutumia umaskini na uvivu wetu wa kujituma, kujitegemea na kufikiria. Viongozi wetu wametunasisha kwenye mtego mpya na mbaya sana.
Tunawaza misaada TU muda wote na wakati wote. Wazungu wamesema wenyewe kuwa hawana cha bure (no free lunch).
Taifa liepuke kuwapa madaraka makubwa watu wote waliosoma kwa scholarships nchi za NATO.