sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
M
Mwalimu Nyerere aliingia hiyo fix,akajipambanua kama mwana harakati pan africanist,mkombozi wa makoloni n.k lakini hadi anaondoka madarakani tena kwa shindikizo la wafadhili world bank na IMF, tulikuwa tunapanga foleni ya unga wa yanga kutoka nje tukashindwq hata kuzalishi unga wa mahindi yetu. Kutoka miaka 1973 hadi 1985 tulikula unga wa Yanga.
Hadi pale Raisi Mwinyi alipokuwa Raisi wa Jamhuri ya Tanzania 1985 Mzee Mwinyi alitoa ruksa mtu kulima,ruksa kuuza mazao yake au kusafirisha mazao yako nchini kokote tukaachana na road block na vibali.
Acheni hizo stupid theory zenu sisi tunataka practical reality.
Maendeleo yanataka pesa,na utashi wa kisiasa.
Kinachofuata ni kuomba msaada.Wafadhili wako tayari kukupa bure vitu kama chakula na vile vitu basic.lakini siyo wajinga, kukupa pesa za miradi harafu isitumike kama ilivyopangwa.
Watanzania kwanza tunatakiwa kujitambua.
Mnasema Mjomba Magu alikuwa ana vision ya nchi hii,kiasi fulani alifanikiwa lakini kiasi fulani hakujua kitu gani kitangulie.
Na kwa sababu ya ukali wake tumejikuta kwenye big dilemma ya deficit,
Una import zaidi kuliko unachozalisha bado mnalalamika hakuna USD?nonsense.
Kwa upofu wetu mnampelekea moto Dr. Samia ohhh hakuna pesa ya kigeni wakati msuka issue ya kijinga alikuwa mjomba wangu,hakuwa na uwezo wa kulipa hizo project kubwa kwa nchi maskini kama ya kwetu.
Pammoja na hilo Mama akaweza kumaliza hiyo miradi.
Mkuu no money no honey ulijue hilo.Acha mawazo ya alinacha ya kuwatubukiza wananchi kwenye ulofa.Achana na hao mbwa koko ambao wanahutubia uzuri wa ujamaa wakati hulipwa mishahara na serikali hawana machungu, hata biashara ya kuuza mkaa inawashinda.Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani (NATO) kama ikitokea vita kuu ya 3 (WWIII). Wametuchagulia upande kwenye vita baridi na moto kati ya Urusi vs NATO kwa kutumia umaskini na uvivu wetu wa kujituma, kujitegemea na kufikiria. Viongozi wetu wametunasisha kwenye mtego mpya na mbaya sana.
Tunawaza misaada TU muda wote na wakati wote. Wazungu wamesema wenyewe kuwa hawana cha bure (no free lunch).
Taifa liepuke kuwapa madaraka makubwa watu wote waliosoma kwa scholarships nchi za NATO.